The New Toyota Cow-rolla !!!

Hii niliwahi kukutana nayo maeneo ya wilayani Kongwa huko Dodoma.
 
Imetulia. Baada ya Kupata maumivu kwenye nyanja mbalimbali, tunahitajij pia kupata faraja na kupumzisha akili zetu ili tupate nguvu ziadi
 
Magari matatu ya aina hii ni foleni tosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…