ebu walotumia watupe deatail mana wanajigamba sana kwamba wana speed ya kufa mtu ila kwa hyo ya kusema 7.1mbps hyo ni connection speed sio downlouding n uplouding speed ndipo wanapotuchakachua hapo
60,000Hiyo modem ya airtel wanauza bei gani
Hiyo modem ya airtel wanauza bei gani
Imekula kwao hawa jamaa,Inabidi wabadilike harakacustomer care staff wengi wanauza nyago badala ya product