Teh teh teh!Gaddafi aliwapigisha foleni benki kujichukulia fedha zao, leo wanaandamana kudai fedha ambazo waliahidiwa lakini imekuwa dana dana tu.
Nimeiopoa hapa Libye
Tifu kali sana Limetokea leo Tripoli yule kibaraka wa Nato almanusura auwawe na waLibya wanaotaka nchi yao ijitawale...vita ni kali maeneo mengi sana ya Libya na ku a sehemu waaasi hawafiki kabisa...
"Some of them screamed 'We're from Misrata, you dogs!' while they were firing," said another Tripoli fighter. "They wanted to take them (the prisoners) by force,
Zaidi hapa UPDATE 1-Battle between Tripoli, Misrata militias kills 4 | News by Country | Reuters
-Akashindwa kutambua nyakati na kuhusu historia ya ulimwengu.Kwamba dunia ni mapito.Ni mara ngapi misafu(Biblia)imejaribu kuzielezea tawala za ulimwengu na kuanguka kwake.Au ni kwanini asingejifuuza kutoka kwa viongozi kama saddam nk?.Umeanguka babeli.Wats up JF membes.
Nilichukia sana baada ya kuona nguzo pekee imara, naweza kusema kwamba kiongozi mwenye msimamo wa 99% kung'olewa kwa kudhalilika namna ile.
Kitu nino weza kusema JOGOO PEKEE LA AFRIKA LIMEPUMZIKA.
Coz kanal Aliweza kusimama na kudai haki za wa AFRIKA kama vile
-kubadilisha mfumo wa uuzaji wa mafuta wa bei nafuu kwa mafuta yanayo tumiwa Afrika na ghali kwa yanayo toka nje ya afrika.
-kuwa kiongozi wa kwanza kwenda kumpa salamu NELSON MANDELA. Yani alimuwahi hata kiongozi wa LETHOTO.
-kipindi akiwa mwenyekiti wa AFRIKA UNION aliwadai walio tutawala wa2lipe fidia za kutunyonya,kututesa na kusababisha ongezeko la wimbi la umasikini AFRIKA.