The Nape Question!

The Nape Question?????
Kingereza cha wapi hiki??

Si uandike kiswahili tu kwani ungepungukiwa nini?

Uvccm kumbe kuna akina bashite wengi namna hiyo!
Ebu andika alivyotakiwa kuandika basi!
 

Awamu hii kazi au mashauriano hufanyiwa kwenye media. Lazima kiongozi aonekane au kusikika akitoa msimamo wake au hata kuagiza kazi na kuwapa onyo watumishi chini yake ndipo aeleweke ni mchapa kazi. Hakuna cha ofisi wala faragha. Kwa kifupi, hakuna kuaminiana. Nani anaweza "kumshauri kitu" Makonda kipindi hiki?
 
Leo yamekuwa haya.. Unamjua Nape kweli au kupitia magazeti tu.. Hebu ka google sentensi "ccm kujivua gamba" afu urudi tuje tujadiliane vizuri kwa hoja
 
Mmeshavuruga serikali, mmevuruga chama, mnavuruga muungano, mnavuruga nchi, na mnavuruga mfumo na kunajisi vyombo vya usalama.
 
Hivi bwana mdogo nasikia hashauriki na anawadharau sana mawaziri so watasemelewa kwa baba kuwa wanaingilia mandate ndo maana hakuna wakumshaur daudi
 
The Bashite question
 
Kweli hii ndio Tanzania ya viwanda,Leo hii unamuona nape si lolote kisa bashite? Kweli nimeamini ule usemi "tenda wema uende zako usingoje shukurani"
 
The Nape Question?????
Kingereza cha wapi hiki??

Si uandike kiswahili tu kwani ungepungukiwa nini?

Uvccm kumbe kuna akina bashite wengi namna hiyo!
Hicho kiingereza ni sahihi, wewe tu kihiyo hujui kitu !
 
Yeah! Nimeridhika kwa zile suti zilizopata umaarufu eti kapewa na mzungu. Ongeza mcheza disco, mzee kijana, profesa, daktari
 
We ni choko tu
 
It's a billion dollar question....Ila kuna Wanaharakati kama kawaida yao watatukana na kubeza.
Huwa najiuliza, Je ikitokea RC Makonda ajiuzuru/atumbuliwe halafu ahamie CHADEMA, hizi kelele zinazoendelea zitavuma!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…