The Nape Question?????
Kingereza cha wapi hiki??
Si uandike kiswahili tu kwani ungepungukiwa nini?
Uvccm kumbe kuna akina bashite wengi namna hiyo!
Kwahiyo Leo Nape kawa mbaya? With all that sacrifices kwa chama cha majambazi? Kuweni na shukrani kidogo
Hatari sanaLeo Ndio Mnaona Afai umesahau walivyozunguka na Kinana Nchi nzima
Kweli ndugu ni maoni yako si chama Ahsante kwa kutujuza.Hii siyo kauli ya CCM bali ni kauli yangu mimi kama Mwana JF, hakuna mahali niliposema naiwakilisha CCM au mtu yoyote yule, naandika chochote kulingana na jinsi ninavyoona inafaa!
Yaani jambazi apewe airtime kueleza kwanini alivamia? Za wapi hizo?Ruge kutumia airtime ya kutosha kwenye kipindi kuongelea issue ya kituo chake kuvamiwa iliali mvamizi hajapewa air kuzungumzia kwa nini amevamia...nayo tunaiita balancednews?ooooohhhhhh Tanzania ya wadku na wasanii
Je Makonda ana profession gani au hata amashaifanyia nchi hii nini cha kujivunia kwamba amechangia maendeleo ya taifa letu?Kwangu mimi Nape Nnauye ni kama Zito Kabwe wote ni career Politicians, hakuna kingine wanajua isipokuwa Siasa, na ni Siasa za Majungu, Fitina na Mipasho, wanaishi hivyo, sasa sijui watu kama hawa unafanya nao nini?
Unajua mtu mwenye profession yake utasema umrudishe labda Chuoni akafundishe, au umkabidhi Chuo Kikuu aendeshe, lkn sasa Nape Nnauye unafanya naye nini?
Kwa maana kiumri kwa kiasi fulani bado ni mdogo, na kuacha kupiga Gitaa sijui ana ujuzi gani mwingine nje ya Siasa, na hiyo ndiyo kwangu The Nape question, what to do with him?