mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
- Thread starter
-
- #81
Bongolala ana mawazo yake na mimi nina mawazo yangu. Yeye kasema "Safi rwanda,tanzania bla bla tuu". Mimi nikajiuliza mbona raia wa hiyo Rwanda "safi" wanakimbilia Tanzania nchi "blah blah"? Huo ni uwongo au fact mkuu? Mi nadhani wewe ndio mwenye povu kwa sababu unachotakiwa kufanya ni either kubisha the fact kuwa Wanyarwanda wanakimbilia bongo na fact kuwa HAKUNA watanzania wanakimbilia Rwanda. Ukiweza kupangua hiyo fact kwa uthibitisho, i will gladly accept mimi natokwa povu, otherwise basis ya kusema hoja zangu ni povu ili hali huwezi kuzipinga ni nini? Mahaba na Kagame?
cc: MK254
wewe sio raia kabisaaaa, kichwa cha mwendawazimu ni msemo aliotengeneza rais wa awamu ya pili Ali hassan Mwinyi kuhusu timu yetu ya mpira Taifa stars. It has nothing to do with maendeleo at all! Rudi kwenu tu mzee.
cc: JustDoItNow
Mjinga ni wewe unayefungua ID mpaka za majina ya kike wakati ni mwanaume.Wewe sio mTanzania bhana, tumeshakuona kwenye post zingine, embu acha kutumia "yetu" wakati na wewe una 'kwenu' jisemee amavubi na ujinga ujinga mwingine huko.
Bongolala ana mawazo yake na mimi nina mawazo yangu. Yeye kasema "Safi rwanda,tanzania bla bla tuu". Mimi nikajiuliza mbona raia wa hiyo Rwanda "safi" wanakimbilia Tanzania nchi "blah blah"? Huo ni uwongo au fact mkuu? Mi nadhani wewe ndio mwenye povu kwa sababu unachotakiwa kufanya ni either kubisha the fact kuwa Wanyarwanda wanakimbilia bongo na fact kuwa HAKUNA watanzania wanakimbilia Rwanda. Ukiweza kupangua hiyo fact kwa uthibitisho, i will gladly accept mimi natokwa povu, otherwise basis ya kusema hoja zangu ni povu ili hali huwezi kuzipinga ni nini? Mahaba na Kagame?
cc: MK254
ndio zao! hata mwalimu Nyerere RIP aliliona hilo akasema wapandishwe makarandinga warudishwe kwa mtemi wao Kagame... waliteka magari mengi kweli na kuuwa kule kwa mama mashiringi benako... miaka yote ile sehemu kulikuwa hakuna kusindikizwa na convoi lakini kina jMali walipofika tu baaaasi... wasafiri wote wanaopita pale na magari lazima wasindikizwe na wanajeshi, kwanini haikuwa hivyo kabla ya 94?We tokwa tu povu, ila sasa mshavuka mstari mwekundu, mnataka kurudi kwenu kwa kupindua serikali yenu, badala ya kununua siraha nyie mmeanza kuvunja vituo vyetu vya polisi na kupola bunduki zetu ndo mkapiganie huko, kwa taarifa yako intelejensia ya kamanda Mangu inajua janja yenu yote.
Mjinga ni wewe unayefungua ID mpaka za majina ya kike wakati ni mwanaume.
Wewe sio mTanzania bhana, tumeshakuona kwenye post zingine, embu acha kutumia "yetu" wakati na wewe una 'kwenu' jisemee amavubi na ujinga ujinga mwingine huko.
We tokwa tu povu, ila sasa mshavuka mstari mwekundu, mnataka kurudi kwenu kwa kupindua serikali yenu, badala ya kununua siraha nyie mmeanza kuvunja vituo vyetu vya polisi na kupola bunduki zetu ndo mkapiganie huko, kwa taarifa yako intelejensia ya kamanda Mangu inajua janja yenu yote.
kwa hiyo wahamiaji haramu ni wakimbizi? hao ni wachunga n'gombe wanaotafuta malisho! kwani "mambo safi" unamaanisha nini? we Interahamwe kweli ushasahau ukarimu na ustaarabu wa ndugu zako wa huku Rwanda... nakuhakikishia hiyo serikali iliyokupokea kama mkimbizi ingeweza kuweka mikakati ya hao watu kuruhusiwa kuchunga n'gombe zao na kulipa kodi basi hata hizo sehemu wanazo hamia kiharamu zingenufaika sana tu tofauti na nyie wauwaji mnaoshinda mkiteka magari na kuuwa wasio na hatia kama kawaida yenu.Usiyeyushe jibu swali kwa nini wahamiaji haramu toka Rwanda wanakimbia "mambo safi" ya Rwanda na kuja bongo kwenye "blah blah"?
Usiyeyushe jibu swali kwa nini wahamiaji haramu toka Rwanda wanakimbia "mambo safi" ya Rwanda na kuja bongo kwenye "blah blah"?
Wapo wanaokuja kuchunga mifugo yao, wapo wanaokuja kukodi mashamba na kulima, wapo wanaokuja kupiga biashara, na sio warwanda tu bali wapo wachina, wakenya, wacongo, waganda,nk. Lakin wahamiaji haramu kama wewe ambao mnateka mabasi ya abiria na kupola mali za watu, mmetusumbua sana pale kwenye pori la katoro. Sasa mmeanza kuua askari wetu na kupora siraha je tukikinukisha mtakimbilia wapi?! Make kule kwenu ndo ivo tena, wale wafugaji wakitimuliwa watarudi kwao, ww je?
Ila hivi mbona tunaona wanyarwanda,waburundi,wakongo nk wanakimbikia tz lakini sioni wa tz wakishobokea au kukimbilia nchi hizo? jMali murutongore Sexer

Mbwana samata na uhuru selemani wako wapi? Kwa taarifa yako kule lubumbashi, kigali, nk kuna wabongo kibao
Unajifanya chizi sio? Hao unaozungumzia wewe huja kwa passport chini ya sheria. Umeshawahi kusikia wachina wamekamatwa maporini huko wakitaka kujisajili kwenye BVR? Ngoja nikutolee thread maalum uone nazungumzia nini, nitakuita.
Kwa akili yako mchina anaweza kuthubutu kujiandikisha bvr huku akijua hata kama usiku wa manane atandulika tu?! Hivi wewe unaweza kuwatofautisha mghana na mnigeria kwa macho? Mchina na mganda je? Huo ni mfano. We kama watu wanabeba pembe za ndovu na wanyama hai bila kuulizwa je ni nani atawauliza uhalali wa kuwa nchi? Pale kwenye kiwanda cha nile perch mwanza kuna wahindi kibao walishaletana wanaishi isivyo halali na wanadundu tu! Kama unasubiri hadi wachina wakamatwe ndo ujue wapi wasio halali utasubiri sana