The most efficient Governments

Kwa bahati mbaya mods wamefanya mambo yao sioni ume-quote hoja gani niliyoitoa maybe unaweza kunikumbusha.

Watoto wa Dar wamekupa za uso mpaka uko chali mbaya unakimbilia kwa mods....sexer,NOBU,MK254,non starter etc thanks for schooling the interahamwe and it was beautiful.
 
Huyu MK254 huwa hapingi kila kitu kuhusu bongo, kwa mfano hizi takwimu zinazotolewa na taasisi za kimataifa bongo tunapokuwa juu ya kenya huwa anatupongeza, mi mwenyewe huwa sisifii rwanda wala nchi yoyote kama unavyosema bali hukubaliana na takwimu zilivyo, kwa mfano WEF ndo wametoa hizo takwimu mimi nasema jamaa wanajitahid, wewe unatoka povu na vitu ambavyo havihusiani kabisa ili utimize haja yako ya kupinga. Ni kama mtu aseme marekani ina uchumi mkubwa zaidi afu mtu aanze kutoka povu qatar ni nchi tajiri zaidi duniani!
 
Last edited by a moderator:

Kama udogo wa nchi ni inshu kwa nini south africa ni ya 3 afrika wakiizidi burundi?! Ama s. Africa ni ndogo zaidi ya burundi
 
Kama udogo wa nchi ni inshu kwa nini south africa ni ya 3 afrika wakiizidi burundi?! Ama s. Africa ni ndogo zaidi ya burundi

huyoooooo...kakimbia . hutamsikia tena hapa. namuona kakimbilia Kenyan Forum....hahaha
 
Hawa wakina murutongore ni warwanda kwa hiyo si ajabu kutetea sana nchi yao kuliko zingine, kwa nini ww hutetea kabila 1 ktk nchi yako na kuliponda lile jingine?! Si nasikia yale mambo yalishaisha!

Kwani mimi nimemtaja murutongore au mtu yoyote yule? mbona kama unajishtukia? wewe umesema kuna watu wanaiponda Rwanda, hukuwataja, na mimi nikasema kuna watu wanaisifia rwanda sikuwataja. Murutongore kaingiaje?
 
Onyesha ni wapi katika thread hii nzima ambapo nimepinga hii takwimu. Ukishindwa then wewe utakuwa ni mtu wa mapovu unayonisingizia
 
Kama udogo wa nchi ni inshu kwa nini south africa ni ya 3 afrika wakiizidi burundi?! Ama s. Africa ni ndogo zaidi ya burundi

Sijawahi kusema udogo ni ishu pekee, ingekuwa hivyo nchi ya kwanza ingekuwa Vatican. Ninachorudia ni kuwa udogo ni major factor, je UNABISHA HILO?
 
Swaziland, lesotho, equtorial guenea, gabon nazo ni nchi ndogo mbona hazipo!? Nauliza tu nijuzwe nipate kuelewa zaidi,

Nikipata ufafanunuzi nitafurahibsana na pia nitakuwa nimejifunza kitu
 
Safi rwanda,tanzania bla bla tuu

Sijui kwa nini wanyarwanda ni wahamiaji haramu TZ kwenye bla blah, lakini sio watanzania kwenda Rwanda ambako hata visa kwa watanzania haihitajiki, mi huwa nachoka kweli :teeth:
 
Sijawahi kusema udogo ni ishu pekee, ingekuwa hivyo nchi ya kwanza ingekuwa Vatican. Ninachorudia ni kuwa udogo ni major factor, je UNABISHA HILO?

HAHAAHAHAHAHAHAH......Shifting goal post....hahahahahaha...kalale wewe
 
Swaziland, lesotho, equtorial guenea, gabon nazo ni nchi ndogo mbona hazipo!? Nauliza tu nijuzwe nipate kuelewa zaidi,

Nikipata ufafanunuzi nitafurahibsana na pia nitakuwa nimejifunza kitu

Mkuu...hawezi kukujibu manake hana. Bankrupt upstairs. You know what i mean?
 
Kwani mimi nimemtaja murutongore au mtu yoyote yule? mbona kama unajishtukia? wewe umesema kuna watu wanaiponda Rwanda, hukuwataja, na mimi nikasema kuna watu wanaisifia rwanda sikuwataja. Murutongore kaingiaje?

Usinitaje kabisa. Sihitaji nuksi zako sasa hivi. Endelea kunipiga ban manake tangu umefanya hivyo mambo yangu yanaenda vizuri.
 
Sijui kwa nini wanyarwanda ni wahamiaji haramu TZ kwenye bla blah, lakini sio watanzania kwenda Rwanda ambako hata visa kwa watanzania haihitajiki, mi huwa nachoka kweli :teeth:
The reason ni wewe na interahamwe wenzako mlioifanya Rwanda kijiji kichafu maskini na genge la wauaji,now things are getting better compared na kile kijiji mlichokiacha nyuma na maelfu ya interahamwe wenzako wamerudi na wanaishi maisha mazuri na kusaidia kujenga nchi,even big Tanzanian business men/women kama AZAM,Mengi etc wanapiga deal Kigali,usisahau Tanzanians intellectuals and academics waliojaa Kigali kila sector na usianze kuongea Kenyans and Ugandans walivyojaa maana utakimbia humu.
 
jMali
Biblia inanifundisha kwamba, nitumie kidogo nilicho nacho kabla sijapata kikubwa. Rwanda wamedhihirisha hicho kidogo walichopewa, wanakitumia kwa ufanisi.
Kwamba kuna Warwanda wanakimbilia Tanzania, inafaa ifahamike Tanzania kuna raslimali nyingi ikilinganishwa na Rwanda, Kenya, Burundi na Uganda hata zikiungana.
Mimi binafsi nimeishi Bongo na kuona fursa nyingi sana, mtu akijituma vizuri tu, anaondoka kwenye lindi la umaskini. Ni hizi fursa ndizo zinafanya mnaona wageni wakija huko Tanzania. Nchi wanazotoka zina ufanisi, hata fursa za uwekezaji zipo, lakini raslimali ni kiduchu.

Sasa mtaendelea kuona nchi zinatajwa kuwa bora katika kila kitu, lakini bado wanakuja Tanzania kwa ajili ya wingi wa raslimali Bongo.
 
Last edited by a moderator:
Sijui kwa nini wanyarwanda ni wahamiaji haramu TZ kwenye bla blah, lakini sio watanzania kwenda Rwanda ambako hata visa kwa watanzania haihitajiki, mi huwa nachoka kweli :teeth:
BONGOLALA kasoma post na kuipongeza rwanda huku akiilalamikia nchi yake bongo, afu wewe unamjibu kwa suala la wahamiaji haramu na tukikuambia unatokwa povu unabisha!
 
Last edited by a moderator:

Chief hakuna mtu anapinga ufanisi wa Rwanda, i myself can attest to the efficiency of RDB few years ago. Ninachopinga ni hawa watu wanaotukana nchi yangu kwa kutumia hii takwimu kijinga. Hawajui hata hii kitu inamaanisha nini lakini wanajifanya experts wa kujua why Tanzania haimo kwenye top 10. Imagine mtu anadai Tanzania is not on the top 10 kwa sababu ni "wendawazimu"! Ukimuelewesha afafanue hataki! Kenya pia imepitwa na Rwanda just the same, but i doubt it kama the same people wanaweza kudai sababu ni hizi hizi wanazotulaumu bongo. Jitihada za kuwaonyesha fallacy ya argument yao kwa kupoint kuwa hata Marekani inayowapa misaada wanayotumia "efficiently" pia imepitwa bado haifui dafu...
 
BONGOLALA kasoma post na kuipongeza rwanda huku akiilalamikia nchi yake bongo, afu wewe unamjibu kwa suala la wahamiaji haramu na tukikuambia unatokwa povu unabisha!

Bongolala ana mawazo yake na mimi nina mawazo yangu. Yeye kasema "Safi rwanda,tanzania bla bla tuu". Mimi nikajiuliza mbona raia wa hiyo Rwanda "safi" wanakimbilia Tanzania nchi "blah blah"? Huo ni uwongo au fact mkuu? Mi nadhani wewe ndio mwenye povu kwa sababu unachotakiwa kufanya ni either kubisha the fact kuwa Wanyarwanda wanakimbilia bongo na fact kuwa HAKUNA watanzania wanakimbilia Rwanda. Ukiweza kupangua hiyo fact kwa uthibitisho, i will gladly accept mimi natokwa povu, otherwise basis ya kusema hoja zangu ni povu ili hali huwezi kuzipinga ni nini? Mahaba na Kagame?
cc: MK254
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…