murutongore
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 2,051
- 639
Kwani kama Tanzania haimo Watanzania hatuwezi kuhoji? Jithamini acha kuthamini wazungu huku ukijidharau. Kama Rwanda wanaweza kufanya vizuri hata kuwapita wazungu wa nchi kubwa na Tanzania pia tunaweza kufanya hivyo kama tukiwa na viongozi wenye vision, hard working na wenye mapenzi ya kweli na nchi yetu sio hawa wahuni na mafisadi.
Sasa kidooogo unakwenda kwenye mstari, ulichotakiwa kuhoji ni hilo swali KWA NINI TANZANIA IPO CHINI? Hilo ndio la msingi. Sio jinsi ulivyofanya wewe kuuliza swali hilo halafu unaunga sababu zako unazoshindwa kuzithibitisha.
Statistics zinatengenezwa kwa ajili ya wanaojua kuzitafsiri na kuzitumia zinapohitajika, na sio kwa kila "intore" (a.k.a POPOMA).
Wenye akili wanajua effiency ya jambo lolote inakwenda na ukubwa. Of course efficiency ya serikali inakwenda sambamba na ukubwa wa nchi. Ndio maana hiyo orodha inaongozwa na vijinchi ambavyo ni vidogo kuliko baadhi ya wilaya za Tanzania! Ndio maana huoni super-powers zinazoongoza kwenye uchumi na teknolojia kwenye hiyo top 10, huoni marekani, China, Russia, Japan, s.korea etc. Zote zinapitwa na Finland! Ni mpumbavu peke yake atakayeangalia kuwa hivyo vinchi vina more gov efficiency than US and China halafu akaishia hapo! Kwa mfano unaisifiaje Rwanda kwamba imo kwenye hiyo top 10 ya most efficent governments lakini ukafeli kuona kuwa Rwanda ndio PEKE YAKE kwenye hiyo top 10 INAYOTEGEMEA MISAADA, na tena misaada kutoka nchi kama US, UK etc, ambazo HAZIMO KWENYE HIYO TOP 10! Yaani Rwanda pamoja na efficiency ya serikali yake inapokea misaada toka US na UK ambazo serikali zake zina efficiency ndogo kuliko Rwanda! Sasa hapo efficiency ina faida gani?
Narudia tena statistics ni kwa ajili ya akili kubwaz, hiyo ripoti inabidi iwekwe katika context inayoleta maana sio tu kufanyia mashindano yasiyo na msingi kwani it would'nt make sense :glasses-nerdy:
Efficiency au ufanisi ni uwianowa matokeo kwa matumizi. Yanapimwa kwa asilimia, desimali au namba kutegemeanaupendavyo. Mwenye matokeo makubwa na matumizi madogo ana uwezo wakuwa juukwenye hicho kigezo.UFANISI HAUHUSIANI NA UKUBWA WAUCHUMI WALA UTAJIRI AU UMASIKINI BALI MAARIFA NA MAADILI KAMA JUHUDI ZIKO SAWA. MFANO MAREKANI IKIZALISHA DOLA BILIONI 10KWA KUTUMIA DOLA BILIONI 100 (efficiency 10%) itakuwa chini ya Rwanda itayozalishadola milioni 100 kwa kutumia dola milioni 500 ( efficiency 20%).Kuna mtu alijitetea eti Kigalikusafi kwakuwa ni mji mdogo kuliko Dar lakini alisahau Dar ina walipa kodiwengi kuliko Kigali. Ndiyo efficiency hiyo ya aidha kukusanya kodi i.e. MAKUSANYOYA KODI / POPULATION YA WENYE UWEZO WA KULIPA KODI, kuifikisha kodi MAKUSANYOYA KODI/ MAKADIRIO(ASSESSMENT) YA KODI, n.k. Tujirekebishe tutafika mbali.

Wewe kweli hujitambui, sababu za Tanzania kuitwa kichwa cha mwendawazimu kwenye maendeleo ukilinganisha na baadhi ya nchi za Afrika huzijui? Unaishi wapi wewe?
jMali
Pia taja kati ya hizo zilizomo kwenye kumi bora ambayo imetokea Afrika. Cha msingi ni kwamba Rwanda inaongoza kwenye ufanisi, iwe wanapokea misaada au la, muhimu ni jinsi wanavyotumia hiyo misaada. Kuna nchi ndogo ndogo Afrika na hazijapata fursa ya kunusia hata kwenye hamsini bora.
Kwa bahati mbaya mods wamefanya mambo yao sioni ume-quote hoja gani niliyoitoa maybe unaweza kunikumbusha.
Quiz: Taja nchi moja kati ya hizo hapo juu yenye sifa zifuatazo tofauti na wenzake kwenye hiyo orodha:
1. Inategemea misaada.
2. Ina raia wakimbizi.
wewe sio raia kabisaaaa, kichwa cha mwendawazimu ni msemo aliotengeneza rais wa awamu ya pili Ali hassan Mwinyi kuhusu timu yetu ya mpira Taifa stars. It has nothing to do with maendeleo at all! Rudi kwenu tu mzee.
cc: JustDoItNow
jMali
Pia taja kati ya hizo zilizomo kwenye kumi bora ambayo imetokea Afrika. Cha msingi ni kwamba Rwanda inaongoza kwenye ufanisi, iwe wanapokea misaada au la, muhimu ni jinsi wanavyotumia hiyo misaada. Kuna nchi ndogo ndogo Afrika na hazijapata fursa ya kunusia hata kwenye hamsini bora.
Angalia jinsi unavyoonyesha upumbavu wako, kwa taarifa yako kichwa cha mwendawazimu hutumiwa pia kwenye uongozi mbovu nchini na maendeleo finyu ukilinganisha na nchi nyingine za bara hili.
Uliorodhesha kumi bora na kuiponda Rwanda kwamba inapokea misaada. Na mimi nikakuuliza uonyeshe nchi yoyote kutokea Afrika iliyofaulu kufikia hapo, iwe ndogo au kubwa, iwe inapokea misaada au la.
Hii Hapa
Mahesabu yako mbona makali mno, iweje utumie fedha nyingi kuzalisha ndogo? pili, hata kama tukichukulia mahesabu yako yamekaa sawa, kuna factors nyingi umeruka chiefly bado utarudi kwenye eneo/size ya nchi. Ndio maana mataifa yanayoongoza hapo ni madogo madogo. Mfano ukizungumzia infrastructure, utalinganishaje efficiency ya matumizi ya maintainance ya barabara za TZ na Rwanda? Statistically barabara zote za Rwanda kama zingekuwa TZ zingekuwa zimetiwa lami! Ni rahisi kuwa effient kwenye taifa dogo kuliko kwenye taifa kubwa.
Pili, Rwanda inategemea misaada kutoka nje ya nchi ambazo imezipita kwenye gov efficiency, hilo linamaanisha nini? obviously kuwa gov efficiency alone sio kila kitu. Ndio maana Rwanda inaongoza kwa gov efficiency lakini raia wake wanakamatwa kila siku wakitaka kujiorodhesha kwenye daftari la wapiga kura ili wawe watanzania, kwa nini wanakimbia efficiency ya serikali yao kuja kwenye nchi isiyo na ufanisi ya Tanzania?
Hapa umeandika upumbavu wa hali ya juu wala sitapoteza muda wangu. Acha kujifungia ndani toka nje iili ujue misemo mbali mbali inavyotumika nchini. Kichwa cha mwendawazimu kinatumika katika mambo mengine mengi tu na si mpira pekee yake kama unavyodanganya hapa.

Hahaha mkuu hapo kwenye anal-ist umeua, hahahNon-Shatter
Asante sana. huyu jamaa amejiteua kuwa "special anal ist" wa Rwanda baada ya kufanya madudu yake huku halafu akakimbilia huko..huku hakuna cha msalia mtume
Ngoja nimsaidie. Yeye ni interahamwe. Thats why anaichukia Rwanda
Na kuna watu kazi yao kutuletea propaganda za Rwanda, yaani wenyewe ni Rwanda tu, ngoja watakuja hapa labda waogope kwa kuwa nimeshawasema. :teeth: