Statistics zinatengenezwa kwa ajili ya wanaojua kuzitafsiri na kuzitumia zinapohitajika, na sio kwa kila "intore" (a.k.a POPOMA).
Wenye akili wanajua effiency ya jambo lolote inakwenda na ukubwa. Of course efficiency ya serikali inakwenda sambamba na ukubwa wa nchi. Ndio maana hiyo orodha inaongozwa na vijinchi ambavyo ni vidogo kuliko baadhi ya wilaya za Tanzania! Ndio maana huoni super-powers zinazoongoza kwenye uchumi na teknolojia kwenye hiyo top 10, huoni marekani, China, Russia, Japan, s.korea etc. Zote zinapitwa na Finland! Ni mpumbavu peke yake atakayeangalia kuwa hivyo vinchi vina more gov efficiency than US and China halafu akaishia hapo! Kwa mfano unaisifiaje Rwanda kwamba imo kwenye hiyo top 10 ya most efficent governments lakini ukafeli kuona kuwa Rwanda ndio PEKE YAKE kwenye hiyo top 10 INAYOTEGEMEA MISAADA, na tena misaada kutoka nchi kama US, UK etc, ambazo HAZIMO KWENYE HIYO TOP 10! Yaani Rwanda pamoja na efficiency ya serikali yake inapokea misaada toka US na UK ambazo serikali zake zina efficiency ndogo kuliko Rwanda! Sasa hapo efficiency ina faida gani?
Narudia tena statistics ni kwa ajili ya akili kubwaz, hiyo ripoti inabidi iwekwe katika context inayoleta maana sio tu kufanyia mashindano yasiyo na msingi kwani it would'nt make sense :glasses-nerdy: