Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Kwa Sasa ake ndio solid defender...wengine wote wanajificha kwenye possession,....Defence yetu inavuja sio kwamba mabeki wetu ni wabovu, ni kwasababu hakuna muunganiko pale nyuma hasa kwenye center back. Tuko disorganized.
backline haija settle kila mda inafanyiwa rotation wachezaji wanakosa muunganiko.
Toka pep amekuja city ni msimu 1 tu ambao tulikuwa na solid defence, 2020-2021. Timu ilikuwa na backline ya center backs inayoeleweka, Ruben Diaz na Laporte bandika bandua.
Hata ukiangalia timu yoyote ile yenye au iliyowahi kuwa na solid defence, lazima kuna wale regular starters ambao wanatengeneza muunganiko na ndio wanakuwa mhimili nyuma. mfano
Real madrid (Ramos & Varane)
Liverpool (Van Dijk & Matip)
Chelsea ( Thiago silva & Rudiger)
Juventus (Cherllini & Bonucci)
City hata huwezi ukatabiri nani anaanza.
una Akanji,Laporte,Stones,Ake,Ruben na wote hakuna regular starter.
Kwa style hiyo hata angekuwepo Rio ferdinand au canavarro tungevuja tu sababu defence as a whole unit haiko organized, haina combination.
Kwa Sasa ake ndio solid defender...wengine wote wanajificha kwenye possession,....
Tukipoteza mpira unaona kabsia jinsi defender wetu wanavokuwa exposed ....
KDB na Foden wakirud ktk ubora wao uliozoeleka itakua vzr sana.Naona approach aliyokuja nayo pep kwenye mechi ya jana inatufaa zaidi.
Ile ya kucheza na Haaland kama lone striker tunazuilika kirahisi sana.
Tunakuwa rigid kwenye kushambulia kwa sababu timu inakuwa inamuangalia Haaland tu.
Wings wanawaza kupiga cross kumtafuta haaland, viungo wanawaza kupiga penetration kumtafuta Haaland.
Hakuna anayekuwa anafanya mikimbio ndani ya box zaidi ya haaland.
Tukienda na double striker (Haaland & Alvarez) tunakuwa na uhai pale mbele.
Alvarez ni dynamic, anakuwa anakuja kufanya link up na viungo wakati wa build up na anakuwa anaingia ndani ya box kuongeza idadi ya washambuliaji.
Jana tumekuwa na hatari kwenye box la spurs ukilinganisha na mechi 4 au 5 zilizopita.
Nafikiri tunaweza kwenda na hii.
Nadhani pep kafanya vile kwasababu tu KDB hayuko on form..Naona approach aliyokuja nayo pep kwenye mechi ya jana inatufaa zaidi.
Ile ya kucheza na Haaland kama lone striker tunazuilika kirahisi sana.
Tunakuwa rigid kwenye kushambulia kwa sababu timu inakuwa inamuangalia Haaland tu.
Wings wanawaza kupiga cross kumtafuta haaland, viungo wanawaza kupiga penetration kumtafuta Haaland.
Hakuna anayekuwa anafanya mikimbio ndani ya box zaidi ya haaland.
Tukienda na double striker (Haaland & Alvarez) tunakuwa na uhai pale mbele.
Alvarez ni dynamic, anakuwa anakuja kufanya link up na viungo wakati wa build up na anakuwa anaingia ndani ya box kuongeza idadi ya washambuliaji.
Jana tumekuwa na hatari kwenye box la spurs ukilinganisha na mechi 4 au 5 zilizopita.
Nafikiri tunaweza kwenda na hii.
Kitu cha muhimu ni consistency maana hata huyo arsenal tunaweza tukamkamia tukamuwasha zote halafu tunaenda kupigwa na kina leicester na west ham..inakuwa kazi bure.KDB na Foden wakirud ktk ubora wao uliozoeleka itakua vzr sana.
Kupambana na Arsenal ya ss inabid team nzima ifanye step up kubwa na nafas pekee ya msing kushikana mashat na Arsenal ni izo game 2 tunazocheza nae.
Of courseNadhani pep kafanya vile kwasababu tu KDB hayuko on form..
Lewis anaweza kumreplace kdb mazee ,Dogo Yuko physically & mentally fit ,anajua kubuild mashambulizi ,anashoot Kali kwenda golin ....pep anatakiwa kumpa muda mwingi Dogo ajiamin uwanjani ..Of course
kwanini tuendelee kum exploit kevin ambaye anaonekana kachoka while we have a fresher alternative on the bench?
Kevin twende nae taratibu tu mpaka atakapo regain form.
Kdb hakufanya mazoezi kutokana na sababu za kifamilia ,lakin pep akawa amesema lazima atukuwepo kwenye game na spurs ,japo alianza bench ....na ilikuwa aingie ila baada ya kuona waliopo wanaweza maliza game akamuacha ...labda next game tutamuona ....KDB aliumia lin mbona imenipita hyo,au ni kwenye mazoez.
Rico soo young and fresh,more energetic namuombea azid kupata time awe bora kila sku
De bruyne hakuumia isipokuwa j4 hakuwepo kwenye mazoezi sababu ya personal issues.KDB aliumia lin mbona imenipita hyo,au ni kwenye mazoez.
Rico soo young and fresh,more energetic namuombea azid kupata time awe bora kila sku
Hii timu ina mashabiki wasio na uelewa wa mpiraLewis anaweza kumreplace kdb mazee ,Dogo Yuko physically & mentally fit ,anajua kubuild mashambulizi ,anashoot Kali kwenda golin ....pep anatakiwa kumpa muda mwingi Dogo ajiamin uwanjani ..
Haaland hawezi kucontrol ball , yeye mtangulizie mpira mbele ,au mpe cross ...
Alvarez ni mzuri kwenye pressing ,anajua kutia pressure Kwa opponent ,hasa timu zinazoanzia nyuma mashambulizi ....
Alvarez & haaland hii combination ikikaa poa ,hata arsenal atapigika mchana kweupe ...
Tafuta game ya mwisho asenal kumfunga man city ilikuwa Lin ,kiroboto wewe ....Hii timu ina mashabiki wasio na uelewa wa mpira
Rico sio creative kama Kevin.Lewis anaweza kumreplace kdb mazee ,Dogo Yuko physically & mentally fit ,anajua kubuild mashambulizi ,anashoot Kali kwenda golin ....pep anatakiwa kumpa muda mwingi Dogo ajiamin uwanjani ..
Haaland hawezi kucontrol ball , yeye mtangulizie mpira mbele ,au mpe cross ...
Alvarez ni mzuri kwenye pressing ,anajua kutia pressure Kwa opponent ,hasa timu zinazoanzia nyuma mashambulizi ....
Alvarez & haaland hii combination ikikaa poa ,hata arsenal atapigika mchana kweupe ...
Oooh hapo sawaKdb hakufanya mazoezi kutokana na sababu za kifamilia ,lakin pep akawa amesema lazima atukuwepo kwenye game na spurs ,japo alianza bench ....na ilikuwa aingie ila baada ya kuona waliopo wanaweza maliza game akamuacha ...labda next game tutamuona ....
AnhaaaDe bruyne hakuumia isipokuwa j4 hakuwepo kwenye mazoezi sababu ya personal issues.
Rico lewis sidhani kama anaweza kuifanya kazi ya kdb.. yule ni fullback, majukumu ya attacking midfielder hatoyaweza.Lewis anaweza kumreplace kdb mazee ,Dogo Yuko physically & mentally fit ,anajua kubuild mashambulizi ,anashoot Kali kwenda golin ....pep anatakiwa kumpa muda mwingi Dogo ajiamin uwanjani ..
Haaland hawezi kucontrol ball , yeye mtangulizie mpira mbele ,au mpe cross ...
Alvarez ni mzuri kwenye pressing ,anajua kutia pressure Kwa opponent ,hasa timu zinazoanzia nyuma mashambulizi ....
Alvarez & haaland hii combination ikikaa poa ,hata arsenal atapigika mchana kweupe ...
Mwanzo nilimuona kama RB na ni replacement ya walker ...Rico lewis sidhani kama anaweza kuifanya kazi ya kdb.. yule ni fullback, majukumu ya attacking midfielder hatoyaweza.
Ana offer the best akicheza pale pale kwenye wing back ambapo anaingia kwenye midfield kufanya overload timu ikiwa inashambulia.
Kumuweka kama 10 ni kumtaftia lawama tu.