Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 854
Mkuu katika CB tulionao ...
Stone ,akanji ,dias ,Laporte na ake maana anaweza kucheza CB na RB sometimes ...hapo beki mwenye utulivu kidogo ni Laporte ,diasi kasha kwisha kabisa [emoji3],stone na yeye ule ndio uwezo wa mwisho usifikili atakuja kuwa na makali zaidi ya pale ......
Kiufupi pep hajawahi kuwa na ukuta mkali ,toka kina otamend ni full kusajili average defender ,labda kwa vile falisafa ya pep ni "attacking" pep hajawahi kufundisha kuzuia ,anafundisha kushambulia na possession tu ,kuanzia beki Hadi forwards ....
Guardiola ni muumini wa falsafa ya " defend the goal by possessing the ball"Mfumo wetu ndio hautaki aina ya mabeki wagumu nadhani hata Huyo gvardiol akija bado yatakuwa yaleyale
Angalau basi asajili kipa anaejielewa ili kutuokoa kwenye baadhi ya michomo.Guardiola ni muumini wa falsafa ya " defend the goal by possessing the ball"
Sasa katika kuiishi falsafa hii inahitajika kuwa na wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kumiliki mpira kuanzia kipa mpaka striker..
Mabeki wengi anaowasajili pep sio ile aina ya mabeki wagumu ambao wao wanakuwa na performance kubwa pale wanapokaba...
Ukiwaangalia mabeki wetu kama john stones na laporte utagundua ni ile aina ya wachezaji ambao wako "possessing minded " ,wataperfom zaidi pale timu inapokuwa na mpira kwaiyo hawa automatically hawawezi kuwa solid.....
Na Hiyo ndio aina ya mabeki ambao guardiola ataendelea kusajili muda wote atakaokuwa city
Mkuu niliangalia game ya kirafiki na girona majuzi [emoji3][emoji3]....Angalau basi asajili kipa anaejielewa ili kutuokoa kwenye baadhi ya michomo.
Yeye kamng'ang'ania ederson tu bora hata ortega, kwa beki ilivyo ongeza na hilo pazia ederson tutapata tabu sana
Huyu si kachukuliwa na ancellotJUST IN [[emoji599][emoji954]]: Man City are prepared to offer Josko Gvardiol a contract worth between €11 - €12m per season
Nikiangalia ukuta wetu ulivyo mweupe ni Bora pep angemleta josko ,japo ni performance ya world cup tu lakin mwamba Yuko vzuri huyu ni kama beki Bora wa mashindano wc ...!!View attachment 2453088
Ka foden Kanafanya nn hakajarud wakat kalitoka mapema tu qatarWachezaji ambao mpaka sasa hawajarejea kikosini
Aymeric laporte
John stones
Phil foden
Kalvin Philips
Kyle walker
Ruben Diaz
Ederson Moraes
Bernardo Silva
Jack grealish
Joao cancelo
Julian Alvarez
Kikosi kitakachoanza kesho dhidi ya liverpool probably kinaweza kuwa hivi
............................. Haaland..........................
....Cole palmer.....KDB........mahrez.....
.................Gundogan..........Rodri.........
Gomez........akanji.......ake.......lewis.....
.........................S.Ortega............................
Nafikiri ni mapumziko tu kwasababu hata ederson na Brazil yake walitoka robo fainali ila Naye hajaja bado pamoja na kwamba alikua anasugua benchiKa foden Kanafanya nn hakajarud wakat kalitoka mapema tu qatar
Julian Alvarez amekuwa kwenye form nzuri sana hapo Qatar na nadhani hata pep mwenyewe ataona aibu kumuweka benchi.Nahisi pep saivi atakuwa anakuna upara namna ya kudili na hii inshu ya Alvarez na Haaland.
Itakuwa sio poa kumuweka jamaa benchi
Na mahrez nae akirudi kwenye form vipi?Julian Alvarez amekuwa kwenye form nzuri sana hapo Qatar na nadhani hata pep mwenyewe ataona aibu kumuweka benchi.
Ni wakati sasa wa Alvarez kuanza sambamba na haaland pale mbele kwasababu anaweza pia kucheza wide.
Iko wazi city msimu huu tuna matatizo kwenye winga ya kulia ambako naturally anacheza mahrez lakini nayeye msimu huu ameflop kwaiyo Alvarez akicheza kule sio mbaya kwasababu anaweza kutokea pembeni.
Tunaweza ku-lineup namna hii
....................Haaland...............Alvarez.......
Foden......KDB........Rodri.......Bernardo
Cancelo..Diaz/akanji..ake/laporte..walker
...........................ederson......................
Au inaweza kuwa 4-3-3 foden akasogea juu
Leo walikuwepo training jion kesho tunaweza kumuona ,wote watakuwepo kasoro Alvarez tu ....Ka foden Kanafanya nn hakajarud wakat kalitoka mapema tu qatar
Ederson bado hajafikaLeo walikuwepo training jion kesho tunaweza kumuona ,wote watakuwepo kasoro Alvarez tu