Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Leo tumezingua sana kwenye kulinda, pep anatakiwa alifanyie kazi hilo swala ,madrid nyumbani kwake ni mbovu tutampigia hapo hapo ,kama chelsea alimfungia kwake ,ajiandae kwa kipigo .here we go
Huyo Madrid anakitu gani hasa mbona Mimi sioni ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumemzidi kila kitu ,hakuna sehemu ambayo katukamata ,pressing ,build up ,yaan kiufupi Madrid ni underdog kabisa ,....!Umeanza lini kufuatilia mpira? Hivi unajua Madrid dhidi ya Chelsea tayari alikwishakuwa na Mtaji mkubwa wa ushindi wa Ugenini (3 - 1)?
Timu yoyote inapokuwa na Mtaji mkubwa wa Ushindi wa Ugenini basi game ya Nyumbani huwa wanalegeza kama.
Refer game za Liverpool vs Milan na Benfica zote kashinda Ugenini lakini Nyumbani hakushinda.
Hivyo Real ingelikuwa Hakupata ushindi Mubwa uenini usidhani kuwa angefungwa na Chelsea Ndani ya Barnabeu.
Haijawahi kutokezea Madrid akawa mbovu Nyumbani kwake.
wewe ni muoga kupindukia moto wa city unaujua na huwezi support city apite , Madrid mbona anafungika kirahisi sana, tena tutampigia kwake .stop being a coward, get ready to face the musicUmeanza lini kufuatilia mpira? Hivi unajua Madrid dhidi ya Chelsea tayari alikwishakuwa na Mtaji mkubwa wa ushindi wa Ugenini (3 - 1)?
Timu yoyote inapokuwa na Mtaji mkubwa wa Ushindi wa Ugenini basi game ya Nyumbani huwa wanalegeza kama.
Refer game za Liverpool vs Milan na Benfica zote kashinda Ugenini lakini Nyumbani hakushinda.
Hivyo Real ingelikuwa Hakupata ushindi Mubwa uenini usidhani kuwa angefungwa na Chelsea Ndani ya Barnabeu.
Haijawahi kutokezea Madrid akawa mbovu Nyumbani kwake.
Nyie jifananisheni na Chelsea sasa, mtawashiwa moto huko huko ndio mtakapo jua. Kuna ile unaenda kumpiga mtu kume wewe ndio unaenda kupigwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo tumezingua sana kwenye kulinda, pep anatakiwa alifanyie kazi hilo swala ,madrid nyumbani kwake ni mbovu tutampigia hapo hapo ,kama chelsea alimfungia kwake ,ajiandae kwa kipigo .here we go
Watu mpira mmeanza kuangalia lini.Umeanza lini kufuatilia mpira? Hivi unajua Madrid dhidi ya Chelsea tayari alikwishakuwa na Mtaji mkubwa wa ushindi wa Ugenini (3 - 1)?
Timu yoyote inapokuwa na Mtaji mkubwa wa Ushindi wa Ugenini basi game ya Nyumbani huwa wanalegeza kama.
Refer game za Liverpool vs Milan na Benfica zote kashinda Ugenini lakini Nyumbani hakushinda.
Hivyo Real ingelikuwa Hakupata ushindi Mubwa uenini usidhani kuwa angefungwa na Chelsea Ndani ya Barnabeu.
Haijawahi kutokezea Madrid akawa mbovu Nyumbani kwake.
Kabisa mkuu [emoji1787][emoji1787]Hili timu lenu siyo uefa materials. Uyu Pep ataondoka hapa city bila hili kombe..
Ninyi ni takataka haswa..
,#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Weka akiba ya maneno mkuu tarehe 04/05/2022 sio mbali.Huyo Madrid anakitu gani hasa mbona Mimi sioni ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumemzidi kila kitu ,hakuna sehemu ambayo katukamata ,pressing ,build up ,yaan kiufupi Madrid ni underdog kabisa ,....!
ifike mahali mkubali tu Madrid ni mbovu ,kwa kikosi cha Jana kama tungekuwa tunacheza na Liverpool au Chelsea tungeumia sana .......ila Kwa vile ni Madrid Bado kapata tough game [emoji23][emoji23]
Huyo Madrid anakitu gani hasa mbona Mimi sioni ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumemzidi kila kitu ,hakuna sehemu ambayo katukamata ,pressing ,build up ,yaan kiufupi Madrid ni underdog kabisa ,....!
ifike mahali mkubali tu Madrid ni mbovu ,kwa kikosi cha Jana kama tungekuwa tunacheza na Liverpool au Chelsea tungeumia sana .......ila Kwa vile ni Madrid Bado kapata tough game [emoji23][emoji23]