The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hii line up ya kijinga kabisa

Sijui kwanini pep anamwamin ake kwenye game ngumu kama hizi aisee ....zincheko alitakiwa ....

Kukosekana kwa diaz,& walker wacha tu niseme pep kaamua kutuuza aiseee ....


Foden yupo on fire but hayupo ...

Hii game inamhitaji Sana Jesus daaa View attachment 2177108

uwa unaangalia game za city kweli ww unasema Ake ajui bolu
 
Huu ukuta wa atletico bila kupiga shots za mbali sioni tunawafunguaje Hawa....!
 
One word
mancity-20220406-0002.jpg
 
Ake anababaika akiwa na mpira. Hana uwezo wa kupenya kwenda mbele. Akiwa na mpira akifuatwa hakawii kupiga nje. Ake uwezo mdogo
Nawashangaa sana,Mimi nikimuona ake game mhimu kama hizi daa nabaki naomba asipasiwe hata mpira
 
Back
Top Bottom