goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,880
- 5,752
Amefungua milango boraBernado yupo Moto !!!
Sterling miss more open chances so hata akienda sio mbaya ,though kafanya makubwa Sana ...
Sterling anapambania namba na grealish ,foden mahrez ,kupata muda wa kucheza Sana Kama anavotaka inakuwa ngumu
Hivyohvyo tuliwaduwaza mahater uefa msimu uliopita ....walisubiri tufungwe na real Madrid na city lkn hao mpk tukabeba ndoo