Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,808
- 128,144
Kila anayekuja mbele yetu sisi tunakula kichwa tuu, ila huu mpira unaweza shangaa man City anashinda UCL 😂😂😂Aisee chelsea mko vizuri, kwa mpira ule na real madrid, madrid wao wenyewe walishangaa
Kuna jambo zito litatokea fainali UCL ...