kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
upo ChelseaKwahiyo mmelidhika kwa kikosi mlicho weka? Isije kutokea baada ya mechi mnalalamika eti fulani hakucheza
Sent using Jamii Forums mobile app
upo ChelseaKwahiyo mmelidhika kwa kikosi mlicho weka? Isije kutokea baada ya mechi mnalalamika eti fulani hakucheza
Aibu sana kama legent wa clubAguero hastahili kuvaa tena jezi ya city
Ila nakumbuka alimiss siku akafunga hat trick na hawa hawa mbwaGame kama hii ,analeta ujinga pumbavu sana ...
Namheshimu sana aguero ila kwa huu ujinga ,siwezi kabisa ..
We have to win this game ,game haijaisha bado analeta utoto shiit