Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,179
- 2,084
Matokeo ni ngapingapi mkuu,😁 muwe na akiba ya maneno ona sasa😀
Dias ametulia sana kule nyuma, namuona anaenda kuwa bonge la defenderHii partnership ni balaaView attachment 1670506
Hatar sanaKila nikitazama kwa siku za usoni sioni mwingine wa kuchukua EPL msimu huu zaidi ya hawa watoto wa mjini(Man City).
Ebwana naona tunapepea.Walete hao BAH tuwakule
Citzen chairman