RAYAN THE DON
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 679
- 1,220
Poleni sana wadau wa Man city. Jana mmepigwa viwili vitakatifu. Ndivyo vinawachangamsha kwa muda huu. The Blues, the pensioners siyo watu wazuri🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mhh! Hizi sambusa si mchezo3rd goal. FodenView attachment 1495828
4th goal. Own goal oxladeView attachment 1495869



Kuna mipira mingine huwa ni kama ramli chonganishi hebu ona hii sasa.Kuna mipira mingine huwa ni kama ramli chonganishi hebu ona hii sasa.
Naona mmejipoza moyoSiku imeenda safi sana thanks RAZ n Kelvin