Wewe jamaa 😀😀😀hujajibu chochote kati ya nilivyokuulizaManchester city. Ndio timu bora kwa sasa ulaya io yoyote anajua.
Kwanza ndio timu pekee iliyochukua point 4 kwa liverpool wakat liverpool ilichukua point moja tu.
Liverpool ni bingwa wa knock-outs, ukisema hvyo tuposambamba.
Maana ata wigan alichukua FA ila haimaanishi ndio timu bora England.
Kwa sababu FA nayo inabeba timu aina zote England
Nimekwambia wigan alipochukua FA je ilimaanisha ni bingwa wa ENGLAND??Wewe jamaa [emoji3][emoji3][emoji3]hujajibu chochote kati ya nilivyokuuliza
Hakuna alieisema man city hadi wewe useme eti hata ikichukua chochote itasemwa tu ila mimi nilikua naongelea wewe kusema mshindi wa uefa sio champions wa europe na hujajibu chochote kuhusu vitu nilivyoongelea
Nachosema ni kua hisia zako usizilete kwenye facts zilizopo mawazo yako hayapingwi lakinihayabadilishi facts.
Hapo ndio mnakosea maana hamna makombe ya mabara ambayo sio ya knockoutManchester city. Ndio timu bora kwa sasa ulaya io yoyote anajua.
Kwanza ndio timu pekee iliyochukua point 4 kwa liverpool wakat liverpool ilichukua point moja tu.
Liverpool ni bingwa wa knock-outs, ukisema hvyo tuposambamba.
Maana ata wigan alichukua FA ila haimaanishi ndio timu bora England.
Kwa sababu FA nayo inabeba timu aina zote England
Kwanza,kombe kama FA na mengine ni makombe ambayo mara nyingi timu kubwa haziyajali sana na ndio maana hata vikosi mara nyingi havipangwi vikali lakini first 11 za tim mdogo hua zinaanza na pia kutokana na kwamba chance zao kushinda ligi na makombe kama UEFA ni ndogo sana hua hawana cha kupoteza.Nimekwambia wigan alipochukua FA je ilimaanisha ni bingwa wa ENGLAND??
UNATAKA JIBU LIPI TENA?
Guardiola anavalue ligi kuliko uefa [emoji3] .Kwanza,kombe kama FA na mengine ni makombe ambayo mara nyingi timu kubwa haziyajali sana na ndio maana hata vikosi mara nyingi havipangwi vikali lakini first 11 za tim mdogo hua zinaanza na pia kutokana na kwamba chance zao kushinda ligi na makombe kama UEFA ni ndogo sana hua hawana cha kupoteza.
Mfano..kukiwa na game ya FA pabda jmos alaf ligi jtano tim kubwa itapanga wachezaji wasiopataga namba sana ili wale wa first 11 wacheze jtano ligi?umeona umuhimu wa FA sasa?na hio pia ni kwasababu ya umuhimu wake na pia sio fact kua ukishi da FA ni champion wa England.
Lakini imagine kukiwa na ligi jpili na UEfA jnne kikosi kikali zaidi kitacheza wapi kama sio UEFA?kwa hio ni umuhimu tu..unaposema Liverpool ni bingwa wa knock outs tu...nakubali lakini kwani hachezagi fA?au hio sio KO?hachezagi carling???anacheza lakin big teams value most big trophies ikitokea kashinda mengine ni ziada tu au labda kama ameona hawez tena kushinda makubwa...kama ingekua inajulikana FA ni bingwa wa england hao kina wigan kwa miaka hii wangeisikilizia kwenye bomba tu lakini kwakua SIO HIVYO ndio maana hata wao unaona wanajitahidi.
Labda nikuulize tu,kati ya ligi na UEFA timu zinavalue kipi zaidi?hata kwa kuangalia tu mechi zipi zitapewa thamani ya kuweka wachezaji wakubwa ikiwa mechi zinafuatana sana.
Kweli nmecha msimu uliopita amezingua sana.Dogo wenu Lucas Nmecha aache tu mpira kwa kweli
Ni bonge la garasa
Kule England League one sijui kama sio Champion Ship katika mechi 41 kafunga goli nne halafu mchezaji namba tisa huyoView attachment 1155603
Kweli nmecha msimu uliopita amezingua sana.
Ila kwenye statistics ukicheki hata ya harry kane misimu yake miwili ya mwanzo championship alifunga goli 9 tu kwa mechi 35+ .
Ngoja tumuone msimu huu.
Ila preston wanamain striker wao, Nmecha amecheza sana baada ya jamaa kupata majeruhi.
Nazani msimu huu anaweza kwenda kwa mkopo kwaio German.
Ila kwa mwili wake angejaribu kuwa defender
Angelino bado sana
Angelino game ya leo amesababisha penarty na bado kdg ziwe mbili refa tu hakuona.Labda game hii tu ila Angelino kwangu binafsi yuko vizuri sana kuliko Danilo na Zinchenko