SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,449
'Muda ukifika'. [emoji23] [emoji23] mausajili shendele hata nusu hamgusiSijakubishia kuhusu uchanga wa Man City...
But at the moment,Man City is one of the best teams in the World..!
Hiyo UEFA ikifika muda ataibeba tu...
Kwani Chelsea amebeba UEFA ngapi chief..?
Man Utd&Liverpool have history,Man City is creating it's own version of history..!
Kwasasa nafurahia kuiona Man City ikitengeneza historia,ni raha sana kuishuhudia timu yako ikitengeneza historia kuliko kusoma historia ya timu yako kwenye mitandao..!
Hiyo UEFA ambayo unaizungumzia tutaibeba tu muda wa kufanya hivyo ukifika...
Tena nikwambie tu,as long as Man City anaendelea kubeba vikombe kila msimu,ndivyo anavyoendelea kutengeneza hiyo historia unayoizungumzia..!
Nikwambie tu,ndani ya miaka 10 iliyopita Man City imebeba zaidi ya makombe 10..!
Pia usisahau,HAKUNA UBINGWA/KIKOMBE KIDOGO,ukizungumzia mafanikio ya timu unataja vikombe vyote ambavyo imewahi kuchukua..!
MWISHO: Nafurahi kuwa shabiki wa Man City kwa wakati huu,kwasababu nashuhudia timu changa ikijitengenezea historia yake ya kipekee kabisa..!
Na huo ubingwa wa UEFA utabebwa tu muda ukifika..!
Jichekeshe tu..!'Muda ukifika'. [emoji23] [emoji23] mausajili shendele hata nusu hamgusi
Unafananisha carling na UCL? Are you sick? Kaa ukijua kuwa the most prestigious cup for clubs ni UEFA ones. Ndo maana Pep mwenyew anahaha maana lengo lake kubwa ni UEFA. [emoji23] Usajili shendele alaf hata nusu hutoboi.Jichekeshe tu..!
Kwani aliyekuambia mafanikio ni kubeba UEFA peke yake nani..?
Wewe una matatizo yako binafsi na Man City,mimi siwezi kutatua hayo matatizo yako..!Unafananisha carling na UCL? Are you sick? Kaa ukijua kuwa the most prestigious cup for clubs ni UEFA ones. Ndo maana Pep mwenyew anahaha maana lengo lake kubwa ni UEFA. [emoji23] Usajili shendele alaf hata nusu hutoboi.
Uyu ndio mchezaji pekee alie mdribble vvd
View attachment 1124442
Hastahili Ballon D'or
Angalia hata kwenye hio UNL kama ana goli ngapi
Ukali wa mchezaji anaecheza Forward tunaangalia anaefunga sana na kuassist sana sasa huyo mchezaji wenu hata goli 10 za ligi sidhani kama ameweza msimu huu sijui kwa assist
Tatizo aliangushwa kutokuvuka robo fainali.
Laa sivyo ilikuwa inamuhusu waziwazi.
Sasa mkuu huyu mtu anamakombe mengi zaidi.Hakuna
Huyo Bernardo Silva tukimuassess ni kwamba anapitwa hata na team-mates wake kama Sterling na Mahrez achilia mbali forwards wenye mafanikio makubwa kama Aguero
Ana carabaoPale Man City wanaostahiki Ballon D'or (wenye hadhi) ni watu wawili tu! De Bruyne na Aguero
Sasa mkuu huyu mtu anamakombe mengi zaidi.
5/6 amechukuaa
Ligi,bara,na world cup.Nikiangalia hapo kombe linalombeba ni moja tu la Ubingwa wa Uingereza