CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,676
- 1,061
UEFA tumeweza ku qualify. Je tutakuwa on Top? Ama? Pep apambane amalize on Top kuepuka kina PSG, REAL MADRID. BARCELONA. BAYERN.
Jamaa nao wanakuja sana
anazungumzia asenaliArsenal au aseno asenali ...
Ni ipi kati ya hii unyoiongelea wewe