Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,227
- 1,105
Silva anakula kadi ya njano
Na mpiraaaaaaa
hiki kikosi cha leo kilikuwa na udambwimbwi mwingi..
Why??? Au kwa vile imeanzishwa na mshabiki wa Chelsea??? JF ni ya wote, acha awasaidie wale wasiojua/wasioweza kuanzisha thread ya timu zao wazipendazo.