The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hii sio sawa, kwenye front page ya huu uzi hakuna section ya makombe ambayo timu imeshinda, hakuna section ya wamiliki, hakuna section ya current manager kiufupi upo outdated.

Moderators tunaomba mu update huu uzi uwe kama wa majukwaa mengine, yote yako updated ila huu unaachwa.
 
Hawa mods mimi huwa siwaelewi, huu uzi ukiangalia taarifa zilizopo pale mwanzo ni kituko, kimewekwa ki historia nacho kimeishia njiani, hakuna taarifa za club thread imekaa kienyeji sana.

Nilishapiga kelele sana humu ila tulichoambulia ni kuwekewa ki nembo na picha uwanja basi.
 
Inasemekana Rayan cherki kashawasili Manchester kwa ajili ya vipimo vya afya.
 
Ni kupigizana nao kelele mpaka kieleweke, hii sio fair.
 
Pep Gurdiola has been awarded a honorary degree by the University of Manchester, recognizing his extraordinary contribution to the city on and off the pitch.
 
Hizo ndondo za Afrika sijui kwanini huwa wanafosi kufanya kipindi cha ligi, mpaka leo huwa nashindwa kuelewa logic ya hawa jamaa.
Usiite ndondo mkuu ni mashindano makubwa tu ila ratiba yao ya kuweka wakati watu wapo bize na ligi wanakwama.
 
Usiite ndondo mkuu ni mashindano makubwa tu ila ratiba yao ya kuweka wakati watu wapo bize na ligi wanakwama.
Watu wengi tu hadi makocha washalalamika kuhusu hiyo Afcon, ni mashindano yanayojaza ratiba tu bila ulazima wowote, wanashindwa kufanya majira ya kiangazi wanalazimisha muda ambao wachezaji wanahitajika na vilabu vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…