Yeah, ukizingatia City tupo kwenye rebuild, kutoa hiyo pesa maana yake tutaishia kusajili mchezaji mmoja tu, huku kukiwa na wimbi kubwa la wachezaji watakaoondoka.Paun m300 for wirtz ni ridiculous
Bado naamini kijana aki kaa sawa ata leta impact kubwa, huyu ni Kama Rodrigo wa Madrid
Foden na kdb ni mbingu na ardhi mzee, two different kind of players.Foden angekuwa kwenye peak yake ya msimu uliopita, sidhani kama team ingahangaika sokoni kutafuta mbadala wa KDB.
Mkuu, ndio maana ukaitwa mbadala, sio copy, hata huyo Wirtz tuliyekuwa tunamfuatilia passing ability yake utalinganisha na KDB?Foden na kdb ni mbingu na ardhi mzee, two different kind of players.