The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hilo ni goli la 92 la kdb chini ya pep.

Inamfanya afikishe 250 G/A

Kwa wachezaji waliopita chini ya pep, ni messi pekee ndio ana G/A kubwa zaidi ya king kev.
 
Kova recently kawa midfield maestro.

Anaubonda wa kutosha.
 
Back
Top Bottom