Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,163
- 17,067
City ni kama wanacheza pungufu. Haaland hana msaada wowote. Apumzishwe angie Marmush. Sidhani kama hata ana touch 8 kwa leo. Akapumzike tu.
Ushindi upi unaouongelea ?Ushindi leo tunaenda mpaka nafasi ya 3
Hahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hahaaaaaaaaaaaaCity ni kama wanacheza pungufu. Haaland hana msaada wowote. Apumzishwe angie Marmush. Sidhani kama hata ana touch 8 kwa leo. Akapumzike tu.