Gooooooooal C.Palmer 63'
Hapana uchawi juu ya Yakobo wala uganga juu ya Israel.Hamfiki popote tuko hapa
Mkuu upoOK OK
![]()
![]()









Hawa vijana wamejitahidi kutucheleweshea muda ila leo tulikuwa tumejipanga kwa vyovyoteSuper cup winner![]()

Wamejitahidi kupaki mwisho lakuwakuta limewakuta.Hii game ni hatar, bonge moja la mechi.
Final siku zote sio nyepesi ..kawaulize manyumbu huyu sevilla aliwafanya ninHawa vijana wamejitahidi kutucheleweshea muda ila leo tulikuwa tumejipanga kwa vyovyote



Kbs sio bure walitumwaHawa vijana wamejitahidi kutucheleweshea muda ila leo tulikuwa tumejipanga kwa vyovyote
