Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Hii deal imeshabuma tu , gvardiol ni defender mzuri lakin sio Kwa bei hio ...Leipzig sijui wanakwama wapi, walikua wanataka €100m tumekubali, bado wanataka tuongeze ad ons![]()
Hana hata vina Saba vya Ramos ...
x1 Champions League
236 apps
️ 78 goals, 59 assists
