Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,745
Cancelo hawezi rudi na wala timu haimuhitaji kabisa ...Wanasajili kwa mahesabu, kama walker akiondoka rasmi nadhani lazima tumvute pavard, the same kwa bernado, mahrez na Laporte ndo mana unaona kama tumeslow down.
Subiri mtu aondoke, utashangaa wiki inayofuata chuma kipya.
Cancelo hana impact ka tulivyoona msimu uliopita hata asipokuwepo.
Mahrez deal tayari anaelekea uarabuni kufanya vipimo.Mtu pekee naona mpaka Sasa asilimia za kuondoka ni kubwa ..
Mahrez &walker ....
ila bernado silva , Laporte Bado tunao Sana ....
Bernado silva anatumia mguu wa kushoto lakin anacheza winger ya kulia ....the same to Mahrez ..Mahrez deal tayari anaelekea uarabuni kufanya vipimo.
Safi sana hiiNi weka tuweke ...
Gundo ameondoka , kovacic ndani ndani ya masaa tu
....
Walker akiondoka Gvardiol ndani ataingia soon ...
Mahrez akiondoka Kuna winger kutoka Lyon anatua soon ...
We are great team ,good player will come ,View attachment 2691125
CHukueni pesa hii,, Sisi tuongeze backup ya Fabinho.Naona Liverpool wanamtaka kalvin Phillips..View attachment 2691433
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Pep kashasema anamhitaji Bado Phillips ....CHukueni pesa hii,, Sisi tuongeze backup ya Fabinho.
Pre season tu mnacheza game 10+ ,mpaka mnafika kwenye league mshachoka vibaya mno ...Mwacity upara fc mkipata kombe Lolote msimu ujao mniite ashura cheupe