Mbona wachezaji wanaondoka halafu replacement tunajivuta vuta hapo bado Cancelo na pia Walker,Bernado wanaweza pia wasiwepo. Msimu ujao kazi ipo sijui Pep anawaza nini
Kiufupi hizo ni tetesi ...
Uliona gundo alivoondoka tu kovacic akatua haraka ...
Mahrez ,bernado ,walker ni tetesi ,na kesho wachezaji wanarudi training kuanza pres season ,so inaonekana za Kuna uwezekano wakabaki ...
Kama tuna Mahrez , grealish,foden hatuna haja ya kununua winger ....
Tuna stone ,dias ,ake ,akanji Laporte, Sion kama Kuna ulazima wa kutoa 100m lepzig kw aajili ya josko ...
Kiufupi tupo fit ,hakuna haja ya kuingia sokoni Kwa pupa kutafuta wachezaji wa kuja kukaa bench wakati waliopo wako fit ....
Nilitegemea mchezaji mwenye uhakika wa kuondoka Kwa asilimia mia alikuwa Laporte,lakin naona Bado tuko nae sanaa....