Kumar Singh
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 1,064
- 2,439
Herzog yupo sahihi. 3-2-4-1 ya Pep msimu uliopita ilihusisha double pivot ya Stones na Rodri na hii iliimarisha ngome ya ulinzi ya City na Kuwarahisishia kazi Ake,Akanji na Akanji katika kuzuia . Fanya research yako vizuri kuhusu double pivotUko sawa kabisa ,kuwa na viungo wawili kwenye base ya midifilder....
Sio CB atoke chin apande kuwa midifilder,kama anavofanya stone ....hio maana yake nyuma unabaki na back 3...
Double pivot system 4-2-3-1 .......
Na huwa tunacheza huo mfumo sawa ila mara chache sanaa ,......
2023 yote system yetu ya kuwin game zote tumecheza 3-2-4-1 ,,,means ake -dias -akanji ,.......stone anatoka CB anaungana na rodri kati inakuwa ,,, stone ---rodri ..........NASEMA HIVI HII SIO DOUBLE PIVOT...kama nakosea nipo tayari unisahihishe
Mkuu inatakiwa uelewe kuwa double pivot haijalishi umeacha mabeki wangapi nyuma hatakama ni 1, what matters ni una watu wawili wanao dictate mchezo katikati (pivot).Uko sawa kabisa ,kuwa na viungo wawili kwenye base ya midifilder....
Sio CB atoke chin apande kuwa midifilder,kama anavofanya stone ....hio maana yake nyuma unabaki na back 3...
Double pivot system 4-2-3-1 .......
Na huwa tunacheza huo mfumo sawa ila mara chache sanaa ,......
2023 yote system yetu ya kuwin game zote tumecheza 3-2-4-1 ,,,means ake -dias -akanji ,.......stone anatoka CB anaungana na rodri kati inakuwa ,,, stone ---rodri ..........NASEMA HIVI HII SIO DOUBLE PIVOT...kama nakosea nipo tayari unisahihishe
Mkuu, yani unaona kabisa stones na rodri wote wanakaa katikati ya mabeki na viungo wa juu (KDB & Gundo) kusambaza mipira halafu bado unasema hiyo sio double pivot kwa sababu nyuma wamebaki mabeki 3?Hakuna double pivot ya back 3 mzee ....
Stone akikaa pale kati bado Sion kama hio ni double pivot ....
Labda ungeelezea maana ya double pivot ni nin
kabla ya kusema double pivot ni lazima kwanza ujue pivot ina maanisha kitu gni..Herzog yupo sahihi. 3-2-4-1 ya Pep msimu uliopita ilihusisha double pivot ya Stones na Rodri na hii iliimarisha ngome ya ulinzi ya City na Kuwarahisishia kazi Ake,Akanji na Akanji katika kuzuia . Fanya research yako vizuri kuhusu double pivot
Mwaga shule mkuu tupate uelewakabla ya kusema double pivot ni lazima kwanza ujue pivot ina maanisha kitu gni..
double pivot ya 3-2-4-1 ....[emoji23][emoji23][emoji23]hii naweza kusema ni non -double pivot ...labda kama dp ni kuwa na CDM wawili tu bila kuangalia nyuma Kuna beki ngapi..Herzog yupo sahihi. 3-2-4-1 ya Pep msimu uliopita ilihusisha double pivot ya Stones na Rodri na hii iliimarisha ngome ya ulinzi ya City na Kuwarahisishia kazi Ake,Akanji na Akanji katika kuzuia . Fanya research yako vizuri kuhusu double pivot
Ndio maana Kuna single pivot na double pivot hizo zote ni mifumo so kusema double PIVOT haiangali nyuma unabaki na beki wangapi Bado nakuwa sijakuelewa ....Mkuu inatakiwa uelewe kuwa double pivot haijalishi umeacha mabeki wangapi nyuma hatakama ni 1, what matters ni una watu wawili wanao dictate mchezo katikati (pivot).
Stones kutoka nyuma kuja kuungana na rodri kama kiungo wa ziada tayari wanatengeneza double pivot sababu wote wanakua wanafanya majukumu sawa.
Nimekueleza majukumu ya mchezaji/wachezaji wanaocheza kama kitovu cha timu (pivot).Ndio maana Kuna single pivot na double pivot hizo zote ni mifumo so kusema double PIVOT haiangali nyuma unabaki na beki wangapi Bado nakuwa sijakuelewa ....
.double pivot ya rodri ---gundo ...Nimekueleza majukumu ya mchezaji/wachezaji wanaocheza kama kitovu cha timu (pivot).
Akiwa ni mmoja ni single pivot.
Wawili ni double pivot.
Kitovu cha city kilikua na watu wawili timu ikiwa na mpira, stones & rodri, double pivot.
simple kabisa.
We bado unang'ang'ana na idadi ya mabeki.
Mkuu embu jaribu kwenda na google ukaangalie analysis ya mfumo wa 3-2-4-1 wa pep msimu uliopita, kuna articles nyingi sana zinaelezea hili suala, tusije tukawa tunabishana tu kwa mambo ambayo yapo wazi kabisa.
Angalia stones anacheza position gan timu ikiwa na mpira, usikariri natural position..double pivot ya rodri ---gundo ...
Double pivot lazima uwe na beki 4 mkuu ,na ndio maana halisi ya "double PIVOT system" ....
Lazima kiungo aungane na CDM ,,,,na sio beki apande juu kuungana na kiungo mkabajii ....
Stone ni beki ,sio kiungo View attachment 2667986