Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Tutapoteza point Kwa team nyingine lakin sio arsenal mkuu ....Mechi ya Arsenal ni must win kama kweli tuna ndoto za treble.
Ukiangalia ratiba yetu namna ilivyo tight (epl +ucl) utagundua kuna uwezekano mkubwa wa kudondosha points kwenye ligi.
Tukimfunga arsenal atleast kutakuwa na room for errors maana hata ikitokea kuna mechi tutapigwa au kudraw, tunakua bado tuna nafasi ya kurudi on top of the table sababu still tuna game 2 za viporo.
Arsenal akipata hata draw tu itakua ni wakati mgumu kwetu maana itatulazimu tushinde mechi zote zilizobaki, kitu ambacho ni kigumu kwa kuzingatia namna ratiba yetu ilivyo.
Namuamini kipara kwenye mechi za namna hii, arteta pamoja na team yake bado experience ni ndogo sana.Mechi ya Arsenal ni must win kama kweli tuna ndoto za treble.
Ukiangalia ratiba yetu namna ilivyo tight (epl +ucl) utagundua kuna uwezekano mkubwa wa kudondosha points kwenye ligi.
Tukimfunga arsenal atleast kutakuwa na room for errors maana hata ikitokea kuna mechi tutapigwa au kudraw, tunakua bado tuna nafasi ya kurudi on top of the table sababu still tuna game 2 za viporo.
Arsenal akipata hata draw tu itakua ni wakati mgumu kwetu maana itatulazimu tushinde mechi zote zilizobaki, kitu ambacho ni kigumu kwa kuzingatia namna ratiba yetu ilivyo.
Iko wazi.Oya wanangu the citizens, tuanze kuandaa suti za ubingwa mapema.
Huyu jamaa game ya madrid tunamuhitaji sana.Ake ataikosa pia game ya Arsenal.
Mpaka sasa bado haijatolewa taarifa atakua nje kwa muda gani.
Beki asiye na Mbwembwe nna uhakika atarud game moja kabla ya MadridHuyu jamaa game ya madrid tunamuhitaji sana.
Arsenal nao naona watamkosa tumaini lao pale nyuma saliba.Ake ataikosa pia game ya Arsenal.
Mpaka sasa bado haijatolewa taarifa atakua nje kwa muda gani.
CL hapo inabidi tukaze kwelikweli, tukimfurumusha madrid fainali hatuna kazi sana.City tunaogopwa sana kwa sasa mitaani kuna sauti zina sikika zikisema, City mabingwa wa Epl & Cl.nami kwa mbaali naona kama ni kweli na kwakuanzia ngoja nione game ya kesho na hawa washika migobole.
We played against bayern ambayo pia inawachezaji wenye pace na tulidefend vizuri tu bila walker.Micah Richards anasema yeye angekua pep kesho angemuanzisha walker ili kudeal na martinelli kwenye transitions.
Msimu huu laporte kachemsha kwenye fullback, nadhani hata saka atakua amefurahi Ake kuumia.We played against bayern ambayo pia inawachezaji wenye pace na tulidefend vizuri tu bila walker.
Sioni pep akifanya kama Micah anavyowaza.
My concern ni kule kushoto ambako tunategemea atacheza laporte, will he pocket Saka like Ake did?