The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hii game haaland alikua anaiua nae kaendelea kuwabakisha bayern mchezon.
 
Ilitakiwa tuwe tunaongoza muda huu, anyway haaland nae ni mwanadamu pia.
 
Total domination from Bayern Munich, wametupush nyuma na wanatushambulia haswa, tunahitaji kuhold our ground second half.
 
Mpaka sasa tume defend vizuri sana, bayern wanakuja golini muda mwingi kuliko tunavyoenda kwao, inabidi tuwe clinical kwa vijinafasi tunavyopata, haaland angekua ashatuweka vifua mbele sahivi.
 
Pep ni mastermind timu ikienda mapumziko inarudi kivingine 2nd half. Ngoja tuone leo itakuaje
 
Bayern wameanza tu na moto unaendelea, hii game inataka kufanana na ile ya atletico msimu uliopita, ukiacha rafu.
 
Back
Top Bottom