FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,923
- 11,305
Sawa tuchelNaona sura za mashabiki wengi wa Man city ni wachina, Thailand, Korea, nchi zilizochelewa kuujua mpira.
Sawa tuchelNaona sura za mashabiki wengi wa Man city ni wachina, Thailand, Korea, nchi zilizochelewa kuujua mpira.
Weraaaaaaaaaaaa!naona B" kaongeza furaha Etihad

Jamani jamani mwenzenu kwa furaha nilonayo hapa hata usingizi sina sasa naona kazi tuimalizie Etihad leo hawa mbuzi mawe wakasimlie vizuri walikotoka.Halaaaaaand
Ambazo ni buyern sioUEFA ina timu zake tunawakumbusha kabisa
Pigo Kwetu Hilihii ni salamu kwa Arsenyani.

Hakuna cha kuwatenganisha Man City na ubingwa wa EPL na UEFA