Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Hii game nayo ina umuhimu acha tuwapasue then mengine yatafuata.Nlifikiri bernado ataanza leo, naona pep kaamua kuingia mzima mzima.
Hii game nayo ina umuhimu acha tuwapasue then mengine yatafuata.Nlifikiri bernado ataanza leo, naona pep kaamua kuingia mzima mzima.
I thought the same.Nlifikiri bernado ataanza leo, naona pep kaamua kuingia mzima mzima.
Sasa hivi wameshatoboka wataanza kutafuta goli.Nilijua Leo lazima haaland atapotezwa japo kafunga goli ila hasikiki kabisa. Kwa timu zinazopiga low block haaland huwa hasikiki.