The male life circle

Picha zingine.... Btw Wewe uko stage gani
 
ooa au olewa na stage namba2
atleast muenjoy kidoho

huo umri wa kina lebig mutu hapa mmh anawaangalia tu mabebeZ
 
Baadhi ya wanaume huwa nawashangaa wanataka waheshimiwe tena ukikutana nao wanachonga lakini kumbe hamna kitu,anaweza kukushikisha mshiko ili usitoe neno,hahaaaaaa heshima kitandani sio kuvaa suruali,au kuitwa juma,johnn.k
 
Duuu .....!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…