Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,399
- 2,602
- Thread starter
- #21
Uko sahihiMama ana mazuri mengi pia. Kumalizia miradi ya baba bila kushindwa sio kazi ndogo
Uko sahihiMama ana mazuri mengi pia. Kumalizia miradi ya baba bila kushindwa sio kazi ndogo
2025 - 2030 mama atafanya makubwaHivi huyu mama atakumbukwa kwa zuri lipi? Maana Kila nikilitafuta silioni.
Ongezea mkuuSawa mkuu...mbona umeandika machache sana?
Una mtazamo gani tofauti?Kwani vinavyomalizia hiyo miradi ni pesa zimetokea mbinguni mkuu
Kila kizuri hakikosi kasoro zake na kila kibaya hakikosi uzuri wake. I hope wafuasi wa Magufuli na siasa mtaacha kapara watu wenye mitazamo tofauti na mnachokiamini 🙏🏽
Ni kweli mkuuHakika atabaki kua Alama ya Maendeleo thabiti hapa Tanzania