kabintispecial
Member
- Feb 16, 2014
- 67
- 31
So some days back nilikua nimekaa na auntie yangu ni mtu mzima kidogo in her late 50's!uwa namuita my role model coz she is well established a soft spoken lady all in all i admire her.
Anyway acha niende kwenye the main topic so alikua ananishauri about men lt me quote her "Human beings are animals, kama wanyama walivyo., mfano wa simba a lioness want go for a weak lion atatafuta yule mwenye nguvu na anayeweza kulinda teritory yake.
And all the other lionesses watataka kuingia kwenye hiyo hiyo teritory the same applies to women we want a man who is well established atakayenipa sense of security and all the luxuries you want.
Then akaniambia dont be surprised ukiona wengine wakimfukuzia just know how to play ur game. A man is a vunerable human being ni rahisi sana kumjua ukisikiliza vizuri to each n every word he says utajua anapenda nini.
And eventually win him over apo ndo utashangaa watu wanauliza umempa nini nilitafakari sana na nikajua where i was going wrong sikua nasikiliza i want with my heart na hisia zangu ndo maana wanawake wengi tunajikuta tunalalamika kuchezewa.
Wanaume huonesha dhamira zao toka mwanzo bt we fail to accept reality, hoping the man will change for you never on earth.
A man changes when he feels like changing ni vigumu kumbadilisha sio kama wanawake.
So ladies play your cards well..