The Love Calculator

Swali. . .Umenipigia na nani?Mwali?
Jibu. . .Walaa = SIO/HAPANA.

Kuna Swali Aaa na Bee

Swali Aaa: Umenipigia na nani?
Swali Bee: Mwali?

La pili umeshajibu. La kwanza bado.
 
camn,all ppo mmetekwa na hii ktu inaonyesha n jnc gan mlvotanguliza mapenz km tai
 
Superman & Lizzy.
Naona maksi imekata katu ... duhhhhhh

AfroDenzi + Superman = 58%


Duh hakuna hata moja wa kupita 80%. Washa nirudi kijijini nikachome Mkaa. Ishakuwa gundu tena. Watu wamepindaa!
 
AfroDenzi + Superman = 58%


Duh hakuna hata moja wa kupita 80%. Washa nirudi kijijini nikachome Mkaa. Ishakuwa gundu tena. Watu wamepindaa!


Bora hivyo mkuu huko utapata a range between 200 na -200 kila lakheri..
 
Hizo nifujo sasa . . . . lol

Ila sijui kama wana miguu mizuri uko kijijini teh tee teeh

hahahahahah mi na we nani ana fujo tu ..??
haya bana utapata tu chupa ya konyagi au we unataka mguu wa bia hahahah lol
 
Back
Top Bottom