Injuries zilimuandama sana miaka 2-3 iliyopita, Akiwa mzima kabisa only Djokovic can stay with himHuyu jamaa Rafael Nadal nilikuwa namzimia sana. Sijui ni nini kilitoa kwenye game. Aliwahi kuwa no 1 kwa muda mrefu wakinyanganyana namba na Djonkovic.
Rodger Federra hawezi kusalimika kwa huyu jamaa aisee.
I agree with u. Djonkovic ndio mpinzani wake wa ukweli. Hawa ni kama Leonel Messi na Christiano Ronaldo kwa sasa. Natamani wakutane na Federra afu jamaa achukue taji.Injuries zilimuandama sana miaka 2-3 iliyopita, Akiwa mzima kabisa only Djokovic can stay with him
Haha, kama unataka kuona Agassi na Sampras match zao lazima zitakua History channel, at least Martina Hingis still plays double matches.Fainali kati ya Venus na Serena ni lini? Hii sio ya kukosa.
Wanaume nilikuwa nawafagilia sana Andre Agassi na Petre Sampras, wanawake ni Martina Hingis na Anna Kournikova. Naona siku hizi yamenipita mbali.
Kingdom yake tunaisubiri "Roland Garos"