The KEMPINSKI Connection -The beginning ......

Kinachoshangaza kuna watu badala ya kuhoji uadilifu wa mkulu kutokana na habari hii wao wanahoji authenticity ya wikileaks, c'moon guys wiki leaks hawajaandika hizi cables bali zimeandikwa na wanadiplomasia wa Marekani. Mawasiliano haya regardless yanakuchkiza au kukufurahisha ni kati ya ubalozi wa kimarekani na serikali yao. As such the wishes ni namna gani zingeandikwa au kuwa presented si juu ya wikileaks.

In short tunaona how reckless and corrupt viongozi wetu walivyo!
 
<br />
<br />
Tz haina rais kuna mgawaji wa uhuru na mali zetu kwisha.

Si vibaya Rais kupewa zawadi jamani au? kwani yeye nani mpaka asipewe zawadi. Mi nadhani zawadi alistahili ila sijaona kama inaendana na rushwa kwa kweli.............. Ila hongera zake kwa kupokea zawadi ya hivyo vi suti.......Naona labda aliishiwa pesa jamani.
 
Kweli wewe ni mzee wa njaa; yaani apokee suti kwa badilisho la ardh yetu?!, shame upon him, shame upon us.
Si vibaya Rais kupewa zawadi jamani au? kwani yeye nani mpaka asipewe zawadi. Mi nadhani zawadi alistahili ila sijaona kama inaendana na rushwa kwa kweli.............. Ila hongera zake kwa kupokea zawadi ya hivyo vi suti.......Naona labda aliishiwa pesa jamani.
<br />
<br />
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom