Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,936
- 3,959
Ni kikosi ambacho kilikua hatari sana..Arsenal itachukua muda sana mpaka kupata kikosi kaka kile.
Gunners forever...
Gunners forever...
Mkuu hata iweje sihamiiiiKweli ww ni Arse8
Ni kikosi ambacho kilikua hatari sana..Arsenal itachukua muda sana mpaka kupata kikosi kaka kile.
Gunners forever...
shule zimefungwa aisee...muache tu.Sina hakika na kichwa chako cha habari, ni 'invisible' au 'invincible'???!!! Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa...