The Interview: Filamu ya Wamarekani dhidi ya Korea Kaskazini

Kyatsvapi

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Posts
317
Reaction score
196
Wakuu,
Heshima mbele.

Nimemaliza kuiangalia filamu ya vichekesho ya wamarekani iliyotengenezwa na kampuni ya sony. Filamu hii inahusu kipindi cha tv ambacho kilijizolea umaarufu mkubwa Marekani sababu ya kuwahoji watu maarufu na ambao walikuwa wanajikuta wanazungumza mambo yao ya siri kama kuwa mashoga. Katikati ya umaarufu huu mwaandaaji wa kipindi hicho, anapata mwaliko wa kwenda kufanya mahojiano na kiongozi wa taifa la Korea Kaskazini. CIA wanatumia nafasi hiyo kwa ajili ya kumuua kiongozi huyo.

Nimejifunza yafuatayo katika filamu hiyo;

1. Korea ya kaskazini haina demokrasia katika nchi yao.
2. Hakuna uhuru wa kuongea na kuwasilisha mawazo binafsi kama ilivyo katika nchi zenye demokrasia.
3. Wananchi ni daraja la pili baada ya familia ya kifalme.
4. Kuna adha kubwa sana katika nchi hii sababu serikali inatumia sehemu kubwa ya fedha zake kwa ajili ya matumizi ya kijeshi na anasa kwa familia ya kifalme na viongozi wa jeshi.
5. Kiongozi wao anaonekana kama mungu kwao na inaamimikaa hata choo haendi sababu huwa kinayeyuka ndani kwa ndani ya mwili wake.
6. Wako watu ambao hawakubaliani na hali hii na hivyo wanasubiri kitu kianzishe harakati za ukombozi ili waikomboe nchi yao toka katika mabavu ya kiongozi wao.
7. Mapenzi yana nafasi kubwa sana aidha katika kuharibu jambo au kulifanya liwe zuri.
8. Ushoga umepewa nafasi katika filamu hii kuonyesha mambo mawili (a) Ndiyo ustaarabu wa Marekani sasa hivi na kwamba kwao siyo kitu cha ajabu (b) Kwa tunaoamini katika Mungu, hii ni dalili kuwa tuko mwishoni kanisa wa nyakati za mwisho wa dunia.
9. Freemasonry kama kawaida imepewa credits za kutosha katika filamu hii.
10. Marekani ndiyo taifa lililostaarabika na linathamini sana haki za watu wote duniani.

Hayo ndiyo nimejifunza. Unaweza ongezea mengine kama utakuwa nayo. La msingi ni kuwa japokuwa ni filamu ya kuchekesha na imevuruga zaidi maelewano kati ya Marekani na Korea Kaskazini kiuhalisia, ina baadhi ya vitu ambavyo si vizuri sana kwa maadili yetu na kwa hivyo si vizuri kuitizama pamoja na watoto wadogo.

Tafakari.
 
naweza ipata kupitia torrent, nataman niione sana.
 
Kuchochea mauwaji ya rais wa nchi ingine kupitia 'filamu'
 
Naomba nitajie ule wimbo aliouimba kim jong un wa tyler perry.
 
Back
Top Bottom