The interpreter at mandela's funeral admitted to psychiatric hospital


N

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Messages
3,630
Likes
201
Points
160
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2011
3,630 201 160
Is it a cover up or ?.Huyu kaka unaambiwa alikuwaga anachoma moto watu na matairi ya magari,na ana case kibao .Ilikuwaje akaajiriwa Kazi hii?ANC wanakuambia he was cheap .
 
F

Fenento

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
320
Likes
1
Points
35
F

Fenento

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
320 1 35
Hahahahahahahahaha, only in Africa
 
eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Messages
6,668
Likes
3,555
Points
280
eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined May 29, 2009
6,668 3,555 280
Is it a cover up or ?.Huyu kaka unaambiwa alikuwaga anachoma moto watu na matairi ya magari,na ana case kibao .Ilikuwaje akaajiriwa Kazi hii?ANC wanakuambia he was cheap .

Pole sana ndugu yetu.... ni matatizo ya dunia..... hivi karibuni kumekuwa na kadhia nyingi sana za magonjwa ya akili..... utakuta mtu anatembea barabarani vizuri tu..... kumbe ni mgonjwa... inasikitisha sana.. maana mpaka umfahamu kwa muda mrefu sana ndipo utakapogundua...... na nyakati nyingine utakuta mtu fulani aliugua ugonjwa huo muda/kipindi kirefu kilichopita hivi kwamba ikachukuliwa kama amepona na kuanza kumuamini na kumpa kazi nyeti (kama mtafsiri wa lugha ya ishara/alama kwenye msiba wa Tata Madiba).... lakini kumbe aweza ugua tena iwapo atazungukwa na tukio lisilo la kawaida..... ambalo labda litamfanya afurahi sana au aksirike sana ama kuhuzunika sana..... pindi kama hizo huwafanya wale wenye matatizo ya akili pengine kuugua tena magonjwa hayo.....

Kwa maoni yangu..... huyu ndugu ni wa kumpa pole na kumfariji..... kitu ambacho kitamfanya apate afueni ya afya yake ya akili.....
Kwenye maisha tunakumbana na mambo mengi jamani.... tusimfikirie tofauti... pengine naye alifikiri amepona kabisa .... na akakubali kufanya kazi (dili) hiyo ili naye ajikimu na familia yake.... ukizingatia hiyo ilikuwa kazi ya kitaaluma na halali kabisa.
 

Forum statistics

Threads 1,272,320
Members 489,918
Posts 30,447,331