The internet is still undefeated

MAGU is dead! Itoshe kusema hatatembea tena kwenye uso wa dunia.
Samia ni Rais kihalali na ataongoza kwa mafanikio
Itoshe kusema yote ni mapenzi ya MUNGU
 
Ame generalize kusema mitandao lakini nahisi anamlenga mtu mmoja wa Face Book anatumia jina la Veronica France. Huyu ndiye anachafua majina ya viongozi wastaafu kumwahusisha na kifo cha Mwendazake
 
Umenena vema.
 
Ahahahaha kwani Bidden kaacha kuvaa na chanjo kapata,Magu wamemdedisha,tena China watakuwa wamehusika sana wakishirikiana na hao waliotajwa na mitandao

..Duh!

..China ambao tulikuwa tunasema ni ndugu zetu ndio wamemtanguliza kipenzi cha wengi?!!

. Na mabeberu au EU waliokuwa wakimtetea Lissu siyo wabaya kama tulivyoelezwa hapo mwanzo?
 
Yaani sasa hivi wale jamaa wa Jamhuri ya Muungano wa Twitter na Ufipa wanajua kuwa wanamkera huyo mama.

Hahahaa aache kudemka na ngoma wazipigazo.
Lakini ni kama yeye amekuwa specific sana ,hasa kwenye issue ya wanaosema Mzee alipewa/kutegemewa sumu,sikuona kama ana issue sana na Twitter republic au Ufipa
 
Nakubaliana na wewe 100%
 
Niliwaza hivi, nakumbuka JK aliwahi kusema kuwa "mambo mengi tunayapuuzia ila sio kwamba hatuyasikii!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…