Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,691
Hizo jezi kama vesti ilikuaje wakaacha kuzivaa.
Walizuiwa na FIFA kuzitumia tenaHizo jezi kama vesti ilikuaje wakaacha kuzivaa.
HApo jacdues songoo alikua golikipa namba tatu nyuma ya Thomas nkono na Joseph antoine BellJaques song 'oo, jules onana, Thomas libih, Jean claud pagal, alphonse yombi hiyo cameroon ya ukweli
Golini Boucar AlioumNimezungumzia kikosi hikiView attachment 637598