The HSPs (Highly Sensitive Persons)


Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh, nilikuwa siyajui haya....duh,posts nyingine zinaweza zikaumbua watu jamani....duh, naishia hapo...
 
from today Reina you are one of the best member in JF to me
 
Hii hali binafsi inanitesa kwakweli hasa katika mahusiano, yaan ni ngumu kwa mwenza kukuelewa. Binafsi napenda kuwa pekeangu muda mwingi kuliko kuspend time na mwenza wangu yaan naona kama ananibana vile kitu ambacho hupelekea mwenza kujihisi kama hupendi na mwisho wa siku tunaishia kutendwa.

Ni ngumu sana kwangu kuwa na marafiki yaan nimejaribu sana lakini nimeshindwa mpaka watu wananishangaa inakuwaje sina hata rafiki mmoja.

Kulia kwangu ni kama dawa yaan mara zote ninapokwazwa ni lazima nipate muda nikae pekeangu nilie ndo narud katika normal, nakwazika hata Kwa mambo madogo sana so ili kujiepusha na hili huwa naona the best way ni kuspend time alone.
 
Only gays and women suffering from severe neurotic disorders identify with HSP.
 
Mhhhh nyie msijekua mnamix na middle age crisis
 
Many people I met never understand me very few we come along and make endless friendship, actually I'm 100%HSP and I'm proud of it though is very challenging thing ever,it reached a point i decided to commit suicide once in my life time but now i have learned and passed it i developed great control over it and now I'm enjoying being HSp
 
Asante sana.​
 
Je , hali hiyo mtu anaweza asiwe nayo utotoni na ikamtokea ukubwani ?
Je , hali hii mtu anaweza akawa nayo utotoni akiwa mkubwa ikaisha ?
Je , kuna uwezekano wa kuondokana na hali hiyo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…