The Green Book: Muammar Al Gaddafi

Kwa kawaida sisi binadamu ni wa ajabu sana, mpaka leo bado najiuliza Walibya walikuwa wanataka nini hasa hata kufikia kumuua Gadaffi, Laiti kama wangejua Watanzania na nchi zingine maskini tunaziota sana hizo huduma walikuwa wanazipata chini ya Gadaffi, wasingethubutu hata chembe kumtoa Gadaffi pale. alikuwa Mzee wa kutosha kujifia peke yake bila ya kuguswa.

ALIYEMUUWA Gaddafi ni jasusi wa France na amri ilitoka kwa aliyekuwa raisi wa France Nicholas Sarkozy.
Inasemekana kuwa jasusihuyo wa Ufaransa alijipenyezakwenye kundi moja la vikosivya wanamapinduzi wa Libyalililomkamata mateka Gaddafikwenye bomba la majitakakatika mji alikozaliwa waSirte na kumpiga risasi.Likinukuu vyanzo vyaLibya, Daily Mail limeandikakuwa jasusi huyo waUfaransa aliamriwa na Raiswa zamani wa nchi hiyo Nicholas Sarkozy kumuuaGaddafi ili kumzuia asijeakafichua mahusiano yaoendapo angesailiwa.Kabla ya kuuawa nakufuatiwa na mashambulioya anga yaliyofanywa nashirika la kijeshi la NATOnchini Libya, Muammar Gaddafi alitishia hadharanikwamba angefichua kwaundani uhusiano wake narais huyo wa zamani waUfaransa.Sarkozy, ambaye aliwahikumwita Gaddafi kuwa ni‘kiongozi ndugu’ wakatialipofanya safari nchiniUfaransa, inasemekana kuwaalipokea kutoka kwa Gaddafi kitita cha Euro milioni 50kusaidia kampeni zake zauchaguzi wa rais wa mwaka2007.Gazeti la Kitaliano laCorriere della Serra, nalo pia limeripoti kuwa vyanzonchini Libya vimeelezakwamba muuaji wa kigenimwenye uraia wa Ufaransandiye aliyemuua Gaddafi.
 
Nyongeza....http://libyanwarthetruth.com/sites/default/files/reasons_ghadafi_killed_x264_libtheora.ogv

http://libyaagainstsuperpowermedia....-killing-of-muammer-ghadafi-self-explanatory/
 
Back
Top Bottom