Kama polisi wataendelea na ufanyaji kazi wa kimsukule wa ccm bila kufuata maadili ya kazi yao, wakionea watu wasio na hatia kwa amri ya ccm, sisi NA WATOTO WETU TUTAJILINDA DHIDI YA UONEVU WA POLISI NA CCM YAO. TUONE NANI ATASHINDA.
BTW, CCM ni mashetani tu. Kama wanakamata watu wa UKAWA wanapohudhuria mikutano yao, hao wanaosemekana wanarudisha kadi za CHADEMA wanarudisha wakiwa wapi ikiwa kuhudhuria mikutano ya ccm ukiwa ukawa ni jinai?
Ccm ninakuchukia kwa moyo na nguvu zangu zote!.