JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,628
Kama wamewaua basi dhambi hii itawaandama milele bila kujali walitumwa au walijituma wenyewe.Itakuwa wameua,wataleta maiti?!
Kwa sasa watu hawaamini Mungu, hawaamini Karma.... wamekuwa wauaji tu.Mwenyezi Mungu atusaidieKama wamewaua basi dhambi hii itawaandama milele bila kujali walitumwa au walijituma wenyewe.
Ndugu waliomba waoneshwe/kupewa hata maiti waridhike na kuwazika kuliko kulia bila kujua kilichojiri kila siku.Itakuwa wameua,wataleta maiti?!
Siku 60 ni nyingi....walishaua hao mkuuNdugu waliomba waoneshwe/kupewa hata maiti waridhike na kuwazika kuliko kulia bila kujua kilichojiri kila siku.
Ogopa sana....ogopa sanaaa☹️Magufuli alisisitiza maombi mkamuona mnafiki lakin alikuwa sahihi
Alisisitiza maombi ya nini?Ya maji ya kunywa?Acha porojo wewe.Muasisi wa uovu akakuambia ufanye maombi?Merde!Mungu awanusuru huko waliko kama bado wako hai. Magufuli alisisitiza maombi mkamuona mnafiki lakin alikuwa sahihi. Njia pekee ni kuwaombea maana kelele hazisaidii.
Nimeshangaa sana kiukweliAlisisitiza maombi ya nini?Ya maji ya kunywa?Acha porojo wewe.Muasisi wa uovu akakuambia ufanye maombi?Merde!
Mimi ningesubiri wastaafu na wamejisahau, usiku nakwenda na Lita 20 za petrol nachoma nyumba yao waungue mpaka wafeWateke mwanangu na wajue kama hivi. Nitawa pidd mama na baba zao kabla sijawatenganisha viungo. Huo ndio utakuwa mwisho wa amani na furaha kwa ndugu nikiwakosa wao. Hakuna haja ya mahakamani hapo
Hii nchi ni ya ajabu sana yaani haiitaji hata tochi kujua teyari hao jamaa wameshapotezwa au wamedhurumiwa uhai wao teyari cha kusangaza sasa.Naam, zimetimia siku 60 kamili toka ndugu yetu Soka na wenzake wawili walipo tekwa. Kelele zimepigwa sana kutaka vijana Hawa waachiwe, lakini walio mteka wameamua kuweka pamba masikioni mwao.
CHADEMA wakitoa maelezo jinsi Soka na wenzake wawili walivyo ingizwa kwenye mtego wa kutekwa, na kwamba mtu wa mwisho kuongea na Soka alikuwa ni Mwanamama anaye hudumu kikosi maalumu Cha polisi chini ya Mtu waliye muita Mafwele.
Na kwasababu maelezo Yale ya Mwenyekiti wa CHADEMA hayaja kanushwa aidha na polisi au wahusika wenyewe basi jamii inayachukulia kuwa ni kweli tena yasiyo na waa.
Sasa, mtihani unaanzia wapi? Ikiwa Soka na wenzake wawili wasipo onekana milele maana yake itabaki Moja tu nayo ni kwamba :
Yule Mwanamama Kwa jina Semageni na mkubwa wake wa kazi Mafwele watahesabika waliwapoteza au kuwatowesha hapa duniani.
Na kwakuwa Semageni ndio aliongea na Soka Kwa mara ya mwisho, akistaafu watetezi wa haki ya kuishi wanaweza kumpeleka mahakamani akaeleze Soka na wenzake wako wapi?
Je, akiulizwa pikipiki ya Soka aliyo sema ipo Chang'ombe polisi alimkabidhi nani na lini ataweza kuijibu mahakama??
Ni ukweli usiopingika kwamba Semageni katika zoezi la kuwateka wale vijana alifanya kosa kubwa la kuscha alama. Hawezi kujitetea Dunia ikamuacha hivi hivi.
Semageni na wenzake wakiamua kuwaachia mateka wao sasa au mwakani Bado itakuwa shida kubwa Ingawa itakuwa nafuu kuliko kuto kuwaachia au kuwapoteza...!!
Semageni na Mafwele Iko siku watastaafu utumishi wa imma, wapende wasipende, baada ya hapo wataweka wapi sura zao?
Ukisikia The great ordeal ndiyo hii sasa. Kosa dogo la kikazi litawatesa milele.
To yeyeKwa sasa watu hawaamini Mungu, hawaamini Karma.... wamekuwa wauaji tu.Mwenyezi Mungu atusaidie
Imani ya kiMungu inasaidia sana mkuu,hofu ya Mungu inasaidia sana mkuu, hakika nakuambiaTo yeye
Kuamini Mungu yupo hakufanyi mtu kuacha matendo yasiyofaa, na kinyume chake vivyo hivyo.
Kuifundisha akili pekee elimu bila kuufundisha moyo hiyo si elimu.
Sawa kbsMimi ningesubiri wastaafu na wamejisahau, usiku nakwenda na Lita 20 za petrol nachoma nyumba yao waungue mpaka wafe